Kuongeza followers instagram kunafanyikaje?

Gentleman96

JF-Expert Member
Mar 12, 2019
912
1,666
Mambo vipi wana JF?

Kwa sasa kuna trending ya kuongeza followers hasa Instagram,

1. Hawa followers ni kama ulikuwa nao 100 unaweza kulipa mtu na unapata 10k followers,

Kumbuka hapa sio zile app za playstore ambazo unapata followers watano, n.k

Hii ndani ya 24 hours mtu anapata followers hata 20k,

Swali langu ni je wanatumia system gani ku bypass na kuongeza Instagram followers bila tatizo?

2. Niko tayari kujifunza kwa sababu inaweza kuwa deal nzuri (income)

Msaada tafadhali
Asante
 
Ni followers fake aka bots hawana issue yoyote, ukiangalia list ya hizo followers majina ya wazungu, wahindi etc. Kifupi ni utapeli kama utapeli mwengine.

Followers hao feki wanauzwa mtandaoni, sitaweka link sababu sitaki kuwa part ya utapeli, bora tu uachane na hizi biashara.
 
Wote tunajua ni bots,

Lakini sio utapeli kama mtu akiambiwa kua sio real followers
Naweza kuja DM unipe maelekezo?
 
Ni followers fake aka bots hawana issue yoyote, ukiangalia list ya hizo followers majina ya wazungu, wahindi etc. Kifupi ni utapeli kama utapeli mwengine.

Followers hao feki wanauzwa mtandaoni, sitaweka link sababu sitaki kuwa part ya utapeli, bora tu uachane na hizi biashara.
4sure umemaliza kila kitu hapa huwa ni fake followers kuna jamaa angu pia huwa anafanya hii michezo afu anauza account....
 
Mambo vipi wana JF?

Kwa sasa kuna trending ya kuongeza followers hasa Instagram,

1. Hawa followers ni kama ulikuwa nao 100 unaweza kulipa mtu na unapata 10k followers,

Kumbuka hapa sio zile app za playstore ambazo unapata followers watano, n.k

Hii ndani ya 24 hours mtu anapata followers hata 20k,

Swali langu ni je wanatumia system gani ku bypass na kuongeza Instagram followers bila tatizo?

2. Niko tayari kujifunza kwa sababu inaweza kuwa deal nzuri (income)

Msaada tafadhali
Asante
Simple trick ni kufollow watu wengi kadri ya uwezo wako nao wataku-follow back basi hakuna mbambamba nyingine...

NB: Tafuta account ya jamaa yako/zako insta iliyo real iliyonona na followers wengi na wewe wafollow haohao watu wake kadri ya uwezo wako utaona mabadiriko japo uta hustle sana make sio wote watakufollow back.. hakikisha tu account yako naww imekaa kimvuto na ina ushawishi na posts za maana, sio imejaa MEMEs na mavitu yasiyo eleweka..
 
Simple trick ni kufollow watu wengi kadri ya uwezo wako nao wataku-follow back basi hakuna mbambamba nyingine...

NB> Tafuta account ya jamaa yako/zako insta iliyo real iliyonona na followers wengi na wewe wafollow haohao watu wake kadri ya uwezo wako utaona mabadiriko japo uta hustle sana make sio wote watakufollow back.. hakikisha tu account yako naww imekaa kimvuto na ina ushawishi na posts za maana, sio imejaa MEMEs na mavitu yasiyo eleweka..
We jamaa una akili sana ni kweli kbsa hii
 
Back
Top Bottom