๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ป๐—ฒ๐—น

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
๐—ž๐—ฎ๐—บ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฒ๐˜๐—ฎ inasema muda sio mrefu itaachia feature mpya kwenye Whatsapp ambayo inaitwa Channel, hii ni kama vile broadcast channel kwenye Instagram.

Whatsapp Channel ni feature mpya yenye kuwasaidia wafanya kazi, wafanya biashara kutoka kwa mtu binafsi au taasisi kuweza kupokea taarifa mbalimbali muhimu kupitia Whatsapp ni kama vile Instagram channel broadcast.

๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ป๐—ฒ๐—น ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฎ

ยฐ Whatsapp wataweza kuitambulisha tab mpya ambayo itaitwa update na kuondolewa ๐—ป๐—ฒ๐—ป๐—ผ ๐˜€๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚๐˜€.

ยฐ itakua sehemu tofauti kabisa na kwenye chati za kawaida itaweza kupatikana upande wa status ambao ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ถ๐˜๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฒ.

ยฐ itaweza kuunganisha watu bila kuwa na ukomo yani watu watakua na uwezo wa ku follow channel mbalimbali bila kuwa limit kama vile Instagram, telegram nk

ยฐ Admin atakua na uwezo wa kushare content mbalimbali kama vile ujumbe, picha, video's, stickers, polls na followers wake.

ยฐ feature hii itaweza kuwasaidia watu kuweza kupokea taarifa mbalimbali kuhusu masuala ya teknolojia, Michezo ya mpira, habari , kupokea taarifa mbalimbali toka kwa viongozi wako nk.

ยฐ kwa upande wa Admin namba yake ya simu pamoja na profile picha zitakua hazionekani kwa followers wake kwa ajili ya taarifa Zako za kibinafsi kuwa salama Zaidi.

ยฐ ๐—ณ๐—ผ๐—น๐—น๐—ผ๐˜„๐—ฒ๐—ฟ๐˜€ ๐—ฝ๐—ถ๐—ฎ namba zao za simu azitaweza kuonekana kwa followers wengine pamoja na kwa admin

ยฐ taarifa zitazokuwa zinatumwa kwenye channel zitaweza kukaa ndani ya siku 30 tu baada ya hapo zitaweza kupotea toka kwenye kifaa chako.

ยฐ pia Admin atakua na uwezo wa kuzuia kupiga screenshot pamoja na kuforward taarifa mbalimbali zilizopo kwenye channel

Kumbuka tu channel sio End to end encryption maana yake taarifa zilizopo ndani kwenye channel zinaweza kuonekana na Whatsapp wenyewe.

Mfumo huu wa channel utaanza kupatikana kwanza kwenye nchi ya Singapore pamoja na Colombia kwa watu wanaotumia Whatsapp.
WhatsApp%20channel.jpg
images%20(91)%20-%202023-06-09T152756.644.jpg
 

Attachments

  • images%20(91)%20-%202023-06-09T152738.903.jpg
    images%20(91)%20-%202023-06-09T152738.903.jpg
    16.8 KB · Views: 5

Similar Discussions

Back
Top Bottom