iOS 17: Apple wameleta Contact poster. Kazi nzuri

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Unaijua contact poster

Apple kwenye series mpya ya iOS ya 17 wameleta feature mpya inaitwa Contact poster uwezo wa kuweka picha za watu kwenye namba zao za simu.

contact%20poster.jpg

Contact poster inakupa uwezo wa ku customize namba Zako za simu ulizo zisave kwa kuweza kuweka picha zao kwenye namba pamoja na mabango zinazo muonyesha muhusika Fulani.

Ni feature nzuri sana kwani wakati unapiga simu utaweza kuona picha ya muhusika Ikiwa full tena yenye kupendeza kama Bango kupitia simu yako.

Labda unampigia simu mama yako , baba, mchumba au rafiki nk kwenye kioo chako kitatokea picha yake Ikiwa na mfumo mzuri wa kupendeza ni feature nzuri sana inapatikana kwa watumiaji wa iOS ya 17.

Jinsi ya kuseti kwa watumiaji wa beta version fanya hivi fungua app yako ya phone >> tafuta contact>>chagua user card >>chagua contact photo & poster chagua Editi

Kama ndo unafanya setting kwa mara ya Kwanza chagua customize >> utachagua kati ya contact poster au photo kwaiyo utaweza kuchagua toka kwenye camera, photos,memoji pamoja na monogram.
• camera >> utaweza kupiga picha live
• photo >> inakupa option ya kuchagua picha zilizopo kwenye simu
• memoji >>utaweza kuchagua avatar mbalimbali na kuweka kwenye namba
• monogram >> inakua mfumo wa ujumbe Ikiwa na style tofauti tofauti

Vip unaionaje hii feature kwenye simu yako ushaanza kutumia au lah tuachie maoni yako ?

download%20(11).jpg
images%20(91)%20-%202023-06-07T212241.820.jpg

images%20(91)%20-%202023-06-07T212247.871.jpg
 
Unaijua contact poster

Apple kwenye series mpya ya iOS ya 17 wameleta feature mpya inaitwa Contact poster uwezo wa kuweka picha za watu kwenye namba zao za simu.

View attachment 2649367

Contact poster inakupa uwezo wa ku customize namba Zako za simu ulizo zisave kwa kuweza kuweka picha zao kwenye namba pamoja na mabango zinazo muonyesha muhusika Fulani.

Ni feature nzuri sana kwani wakati unapiga simu utaweza kuona picha ya muhusika Ikiwa full tena yenye kupendeza kama Bango kupitia simu yako.

Labda unampigia simu mama yako , baba, mchumba au rafiki nk kwenye kioo chako kitatokea picha yake Ikiwa na mfumo mzuri wa kupendeza ni feature nzuri sana inapatikana kwa watumiaji wa iOS ya 17.

Jinsi ya kuseti kwa watumiaji wa beta version fanya hivi fungua app yako ya phone >> tafuta contact>>chagua user card >>chagua contact photo & poster chagua Editi

Kama ndo unafanya setting kwa mara ya Kwanza chagua customize >> utachagua kati ya contact poster au photo kwaiyo utaweza kuchagua toka kwenye camera, photos,memoji pamoja na monogram.
• camera >> utaweza kupiga picha live
• photo >> inakupa option ya kuchagua picha zilizopo kwenye simu
• memoji >>utaweza kuchagua avatar mbalimbali na kuweka kwenye namba
• monogram >> inakua mfumo wa ujumbe Ikiwa na style tofauti tofauti

Vip unaionaje hii feature kwenye simu yako ushaanza kutumia au lah tuachie maoni yako ?

Usisahau kutu follow kwenye telegram kwa maujanja Zaidi si unajua teknolojia ni Yetu sote
hii feature ni mpya?
 
Hii feature nilianza kuitumia kipindi natumia Tecno M3

Kuna picha niliisevu ya ndugu yangu akiwa amepakata mtoto wa miezi kadhaa, saizi huyo mtoto yuko latatu

Hakuwahi kuwa na picha za mwanae katika umri ule ameshangaa sana nilipomuonesha.

Na hata mtoto mwenyewe akijiangalia kwenye hiyo picha hajitambui kuwa ni yeye.
 
Back
Top Bottom