Nimekwama, natafuta Camera

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
859
1,012
Nimekwama sana mwanajamvi mwenzenu, nashida ya DIGITAL CAMERA kwa matumizi ya picha sio video. Je, ni aina ipi ya camera mzuri kwa matumizi za bei kati ya 100,000 mpaka 600,000?

Pia kama nanunua camera used kipi na kipi cha kukizangatia? Na pia kama nanunua mpya kipi na kipi cha kukizingatia pia?

Pia nahitaji hata kamera used kwa hiyo bei yaani kati ya 100,000 mpaka 600,000.

Location: Dar, morogoro, Mtwara na Pwani.
 
600k unaweza kupata canon 1200d lakini used Kuna jamaa anaitwa zagamba IG anaweza kukusaidia.
 
Nimekwama sana mwanajamvi mwenzenu, nashida ya DIGITAL CAMERA. Je, ni aina ipi ya camera mzuri kwa matumizi za bei kati ya 100,000 mpaka 600,000?

Pia kama nanunua camera used kipi na kipi cha kukizangatia? Na pia kama nanunua mpya kipi na kipi cha kukizingatia pia?

Pia nahitaji hata kamera used kwa hiyo bei yaani kati ya 100,000 mpaka 600,000.

Location: Dar, morogoro, Mtwara na Pwani.
Ungesema unahitaji kwa ajili ya kupiga picha au Video tungepata pa kuanzia.
 
Sony DSC-W810 price yake ni around 300,000Tshs hadi 320,000Tshs kwenye maduka mengi ya Nairobi
Screenshot_20230608-131136_Chrome.jpg
 
Kama Unaanza Photography Basi huu ni mwongozo Yakinifu Namna Ya Kununua Camera Used Au Mpya!

Kuna mshikaji wangu alifata inbox na kuniomba ushauri juu ya vifaa vya photography na hili limekuwa ni swali ninaloulizwa mara kwa mara na baadhi ya wadau.

Na huu ndio ulikuwa ushauri wangu kwake na pengine unaweza kukusaidia ukafanya maamuzi mazuri!

Kwanza kama wewe ni beginer, yaani ni mtu mgeni katika tasnia hii ya UPIGAJI PICHA, hakikisha unazingatia mambo yafuatayo unaponunua kifaa chochote cha kazi mf. Kamera na lens n.k!

Kwanza tambua hili sio kila Photographer anahitaji kifaa sawa sawa na cha mwingine, twende pamoja utanielewa!

Why?
Kwasababu kila kamera hutoa huduma tofauti na kamera nyingine!

Namaanisha nini hapa camera utakayohitaji wewe ni tofauti na atakayohitaji photographer mwenye miaka 5-10 kwenye game!

Kumbuka “A beginner’s needs are very different from a professional’s needs”.

kamera zote zimetengenezwa kutokana na mahitaji husika na zimelegwa kwenye aina fulani ya kundi la Photographer’s! (Begginer, Semi/intermidiate & Professionals).

Na hivyo vyote unaweza uka vi-apply kwenye gear zote zilizobaki kama lenses, tripods, flashes, n.k.

Sasa ni nini unahitaji kuangalia kabla hujafanya maamuzi ya kununua CAMERA iwe mpya ama used,

Hapa nitazungumzia zaidi watu wenye badget ndogo ambao wananunua camera used au zilizotumika,

Shutter count ni makadirio ya kiasi gani kamera imetumika, maximum shutter kwenye (entry and mid-range DSLRs) ni 150,000 au 300,000 (professional DSLRs).

sasa unaponunua kamera iliyotumika hakikisha cha kwanza kutizama ni shutter count!

Kamera yoyote inapoteza value kutokana na shutter count au idadi ya picha zilizopigwa! Sasa basi unajuaje hii kamera imefikisha kiasi kadhaa cha shutter count!

Kuna mitandao mbalimbali ina-offer huduma hii bure kabisa,

unachotakiwa kufanya chukua kamera yako weka kadi piga picha moja then upload kwenye /camerashuttercount.com picha yako haitakiwi iwe imeeditiwa! ni straight from the camera na ikiwezekana iwe kwenye RAW format!

Hakikisha kamera unayonunua haizidi shutter count ya 5,000 kwa entry and mid-range DSLRs na 50,000 kwa professional DSLRs.

Na mazingatio mengine makubwa ni
2.Bei ya kamera
3.Quality
4.Handling
5..Build
6.Weight

Hitimisho, kwenye soko kuna option nyingi sana sasa kwa watu wenye badget ya kiasi cha 2 Millioni na kuendelea

Nianze na upande wa CANON
1.Canon EOS 6D Mark II (DSLR)
2..Canon EOS RP (Milloress)

NIKON
1. Nikon D750 (DSLR)
2. Nikon Z5 (Milloress)

ZIADA: kama unataka kuwekeza, inverst kwenye camera ambayo utakaa nayo maximum of 3-4 years so, usiangalie sana price tag!

Kama ungekuwa na 4M. NAKUENDELEA ningekushauri ununue

1. NIKON D850
2. CANON R6
3. SONY A7iii
4. NIKON D780

Ahsante Sana na Ubaki Salama
#𝙁𝙧𝙖𝙣𝙘𝙞𝙨𝘼𝙧𝙩

Credit:Inframe tz (Twitter)
 
Samahani ina maana kwa budget yake hujamshauri bado.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom