Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari Great Thinker, Naomba kujua fuel consumption ya engine Beam2000 vs D4,Je 1LT inatembea Km? Assume gari zote ni aina moja tofauti ni engine tu. Engine ya D4 Engine ya Beam2000
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau sasa ivi nimejaribu kufungua youtube kwa kutumia ile teknolojia yetu ya hapa naona proxy zote youtube sehemu ya video imebadilika, ukibofya play inaonesha chenga chenga kama tv ikiwa channel...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana-JF.. Hebu tupeane Elimu kidogo kuhusu hizi computer mbalimbali. Iwe DESKTOP au LAPTOP na Matatizo yake. Mfano huwa Naona HP laptop nyingi huwa zinamatatizo ya betri na Cd rom na...
1 Reactions
39 Replies
12K Views
jamani jinsi ya kuunganisha net kwa hii simu samsung gt18150 natumia tigo. plz
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakubwa, mimi ni mgeni katika matumizi ya apple computers. Tatizo langu ni, je, eti ni kweli kwamba ku install software kwenye computer ya mac ni lazima iwe installed wakati inakuwa downloaded...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
wadau naomba mtu anielekeze namna ya kupata photoshop cs5 au anitumie setup yake, naomben sana msaada.
0 Reactions
2 Replies
933 Views
wana jf habari zenu kwa mpigo.....naomba mwenye serial za hii software inaitwa business in a box anipatie nitamshukuru.....
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Nina shida sana na Nitro PDF,nilifanikiwa kudownload file lenye program hiyo kutoka Media fire ambapo niliunganishwa na website hii www.kimsoftwarecrack.com/. File hilo lipo compressed na zip...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Amazing and incredible! I tried the test version and think it is absolutely awesome. Internet has come really a long way these days. A few years ago I wouldn't have believed that technical advance...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau henu mnisaidie jinsi ya kuondoa index.php kwenye url za joomla sites, mi zinaniboa coz they r not user and search engine friendly,,, eg www.joomlasite.com/index.php/forums kama kuna anayejua...
0 Reactions
2 Replies
935 Views
Startup Repair is an extremely useful tool which you are able to use from the Windows 7 boot CD, which allows you to repair damaged installations. Problems such as corrupt MBR, missing files and...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau nimejaribu mara kadhaa ku-install Office 2007 lakini inakataa. Baada ya ku-load for some time inaandika ' can not find Office-en-us/msvcr80.dll file'. Os ninayotumia Win 7. Naomba msaada wadau.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wajanja wa hii shunghuli naombeni msaada je nitawezaje kutumia moderm ya tigo kwa lini zote
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Want to Delete your Facebook account and No longer Exist in Facebook?. Now i think this will Help CLICK HERE
3 Reactions
13 Replies
2K Views
anayehitaji flash disk mpya 4gb- 10,000/- 8gb- 15,000/- ani pm kwa watu wa dar
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari za mida hii wanafamilia, naombien msaada wa activation key za; karpersky 2012 office 2012 asante:israel:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba maelekezo ya kutengeneza document in pdf format.Nimehangaika nimeshindwa nika0‹2a niwashirikishe wadau wa technology hapa. Pia naomba kuelekezwa steps za kuweka window kwenye...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
wana Janmv naomba msaada namna ya kusikiliza radio kwenye net nime download na kuinstall radio rage lakini nashindwa kusikiliza local radios online chanels zinakuja lakini uki click play hamna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
l
​My laptop is toshiba satellite A205-S5803 SYSTEM UNIT. It is installed windows 7 ultimate. By the time being has problem of not responding as soon as when it is plugged with its adapter...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada wandugu nadhani hacker wanaweza kuwa wamenitembelea. Kila nikifungua napata msg hii Please complete a security check No verification methods are currently available. Please come back later...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Back
Top Bottom