How to Crack? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How to Crack?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Nyasiro, Aug 7, 2012.

 1. N

  Nyasiro Verified User

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Huwa inafika wakati unahitaji crack au keyz za software flani lakini inakosekana, mimi nadhani ni kwa sababu crakers hawajavutiwa na hiyo program au labda ni watu wachache wanayo ihitaji. Hapa ndipo inapokuja haja ya kujifunza kufanya CRACKING mwenyewe. Leo ntatoa baadhi ya tools ambazo hutumiwa na crackers ku-CRACK program.

  Software nyingi zinazotumiwa hazitengenezwi kwa madhumuni ya CRACKING bali DEBUGGING. Kwa wale wenye ujuzi wa programming wanaelewa nini maana ya Debugging ila kwa kifupi ni hatua au kitendo cha kuondoa programming errors katika program. Crackers hutumia huu mwanya na uwezo wa hizi debuggers kufanya reverse engineering na kumodify program.

  Unavyohitaji kwa kifupi:

  **Angalau uelewa wa programming na assembly language, ingawa sio lazima cracker awe programmer

  **Uelewa wa Windows registry editor

  **UVUMILIVU

  **n.k

  **Software unazohitaji**

  OllyDbg au WDASM hizi ni program zinazotumiwa sana kufanya cracking. Lakini wengi hutumia OllyDbg
  zaidi ya WDASM.

  Zote zinatumia concept zilezile za JA, JAE,JG,DWORD n.k .

  Software nyingine inayotumiwa inaitwa Cheat Engine hii inatumika kuwezesha Button ambazo haziko active. mfano labda Next button inayo kuruhsu kufanya installation ambayo itakua active pale ukiweka key lakini kwa kutumia Cheat engine unaiwezesha.

  Software nyingine inaitwa Resource Hacker hii ni RAHISI kabisa kutumia inamodify EXEs na ku-compile script kwa haraka sana. Hii haihitaji ujuzi wa programming. Kwa kutumia Resource Hacker unaweza kumodfy EXEs, kuondoa vitu usivyovitaka na kuongeza vyako.

  Inabidi uwe mvumilivu tutorial zipo nyingi sana.

  DOWNLOAD LINKS

  OllyDbg: OllyDbg v1.10
  WDASM: W32DASM Download - Softpedia
  Cheat Engine: Cheat Engine
  Resource Hacker: Resource Hacker

  N.B KUMBUKA KUFANYA BACKUP KABLA YA KUFANYA LOLOTE HASA UNAPO MODIFY WINDOWS EXEs AU DLLS
   
 2. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Thanks kwa somo zuri tumepata kwa kuanzia.
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Make us live ease!!
   
 4. rickymj

  rickymj Senior Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wud plz add some tutorials of ur own kud b much better!
  Showing thoz breaking points,renaming the jnz to JNZ etc
   
 5. N

  Nyasiro Verified User

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sina tutorial zozote na wala sijawahi kufanikiwa ku-crack program hata moja!!!...na mimi ni mwanafunzi. Unaweza kugoogle zipo nyingi sana za video na txt ila to be honest sio kazi rahisi manake techniq zinazotumiwa sio rahisi ku bypass.
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,805
  Likes Received: 7,126
  Trophy Points: 280
  sasa hivi njia rahisi kabisa ya kutumia software full ni kuchukua launcher ya mtu alienunua na kureplace yako trial, au launcher ambayo ipo cracked ureplace na yako ambayo ni trial au software ambayo haijanunuliwa.

  Mfano nimedownload software aimersoft dvd burner then nimepewa trial siku 30 halafu kuna mtu uingereza ameinunua software ile atakachofanya atanavigate style hii

  -computer
  -local disk c
  -program files
  -aimersoft (jina la software)

  Ukiopen utaiona hio launcher mara nyingi inakua na icon ya software ataicopy na ku upload net na wewe utaidownload na kufata same steps then unaenda ipaste kwako ur done ushachakachua.

  Japo njia hii haikubali software zote ila nyingi zinakubali mfano idm, pes 2011, potrait photo, aurora 3d nimezichakachua mwenyewe kwa kutumia njia hio.
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  I'll Go with this
   
 8. N

  Nyasiro Verified User

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  chief-mkwawa hii teknik ni nzur sana kwan haiumiz kabisa kichwa ila kama ulivyoxema ni software chache ambazo zinategemea exe yenyewe ili kuondoa trial. program nyingine zinahitaji online verifkeshen kitu ambacho kinahusisha exe yenyewe, registry values n.k na hapo ndipo inapokuja haja ya kufanya crakng.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. M

  Mkaritusi Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mkuu umekwiva, salute mkuu!!!!!
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,805
  Likes Received: 7,126
  Trophy Points: 280
  yap nakubaliana na wewe hasa haya ma over priced shit ya adobe mpaka kuwe na some dll ziwe patched
   
Loading...