Portable dvd player yangu haisomi dvd wala cd! {sony}

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
Wakuu habari za mida.
Nina portable Dvd player mupya na nimeitmia kwa miezi miwili. Tatizo limekuja juzi juzi, ukiweka dvd inazunguka weee then inakwambia NO DISC.
Sasa hv haizunguki kabisa.. Ukiweka dvd inakuwa kimya {yaani onaonesha neno reading,sekunde inayofata, NO DISK},
naombeni msaada kujua kama hili tatizo linarekebika au ndo nimepoteza.
Na je kama its possible, kwa makadilio inaweza kuwa sh.ngapi?? Thnx.
 
hapo ukiipeleka kwa fundi ndo basi tena labda kama mnajuana vizuri, cha muhimu nunua LG mimi nina miaka 3 haijanisumbua kabisa, SONY na PANASONIC vimeo.
 
hapo ukiipeleka kwa fundi ndo basi tena labda kama mnajuana vizuri, cha muhimu nunua LG mimi nina miaka 3 haijanisumbua kabisa, SONY na PANASONIC vimeo.
halafu ujue hata flash inabagua. Mfano niliweka series ya thirteen{xiii} kwenye flash, inaplay kidogo then inarudi kwenye menu
 
kaka hiyo SONY yako sidhani kama ni original toka MALAYSIA maana wachina na wenyewe wanazo pia.ila in most cases dvd player huwa hizo motor zinakuwa na problem,mara chache sana kukuta lens ina problem,ila nenda kwa fundi ambaye ana reputation nzuri aingalie,japo waweza mwambia akuambie aina ya mota iliyopo ukaenda kununua wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom