Muda si mrefu nafunga ofisi, naomba msaada.

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
Tanesco walivyo wakorofi wamekata umeme ghafla pc yangu ikiwa on, na baada ya umeme kurudi nimewasha pc yangu ikawaka lakini hai-display kitu chochote. Sina ujanja zaidi ya kuisubiri jf itoe tamko na rekebisho. Zaidi ya hapo ofisi nafunga na home no msosi. Saidia jamani.
 
Bonyeza kitufe cha power mpaka izime then iache kwa muda wa dk 2 ikigoma chomoa adapter kisha toa betri then rudisha halafu washa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom