msaada wa windows 7 software | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa windows 7 software

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Jeff, Aug 4, 2012.

 1. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  WanaJF habarini za wikiendi,
  Ninaomba msaada wa kupata software ya windows 7,computer yangu imeliwa baadhi ya mafile ya OS nahitaji ku install upya au kama kuna alternative naweza kufanya naomba msaada wenu,pamoja na microsoft office 2010 nidownload
  msaada pls
   
 2. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35


  View attachment 60851  kama ni ya 32-bit/x86 kamata hapa ****** - shrink your URLs and get paid!

  na ya 64-bit/x64 twende huku http://******/4BFed

  N.B ukishafungua link unayotaka check upande wa juu kulia unaona counting number so subiri hadi imalize then click hapo palipoandikwa skip AD itaanza kudownload Directly(IDM muhimu uwe nayo)
   
 3. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Thank you a lot abulzahra, naomba kujuzwa pia kuna tofaauti gani kati ya windows 7 ultimate na professional? mimi nilikuwa natumia windows 7 ultimate na hapa umenipa professional je haitakuwa na madhara yeyote niki install hii profession? nilikuwa naomba pia msaada wa kuipata microsoft 2010 pls wadau! Thanx JF
   
 4. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Na hii IDM ndio nini wadau naomba kujuzwa?
   
 5. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine google inaweza kukujibu badala ya kusubiri watu wafunguke jf, uki-type tu idm utaambiwa ni internet download manager na hata download link utapata zaidi ya hapo nenda jf store pia utaipata.
   
 6. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  kama uko dar ni pm, ntakupa maelekezo uje na cd zako mbili nikupe
   
 7. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  naomba kudownload office 2003
   
 8. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Tofauti baina ya hizo win7 ni ndogo sana so Ww download A'fu uburn dvd kwa Iso burner ikiwa tayari install hiyo windows kwanza then rudi tena tutakupa mbinu ya kuupgrade kuwa ultimate.
  Kuhsu office 2010 kamata hapa Microsoft Office Professional 2010 SP 1 (x86
  Serial keys Hapa key office 2010.txt | PutLocker
  Activation hapa Office 2010 Toolkit and EZ-Activator 2.2.3
   
 9. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Big up sana Great thinker abulzahra, ngoja nifanye hiyo kazi usiku huu, nitakuja na feedback mkuu, thanx
   
 10. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
 11. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  uki kwama tustue
   
 12. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  nimedownload IDM na kuinstall lakini imefika mwisho inataka niingize serial number, nitazipata wapi jamani?
   
 13. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Ingiza hizi VTDC3-WM7HP-XMPMX-K4YQ2-WYGJ8
   
 14. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mkuu abulzahra, nimeingiza hiyzo key inaniambia incorrect serial number, yani tangu jana sijafanikiwa kupata hiyo IDM ili nianze kupakua hiyo window, msaada wa IDM pls
   
 15. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  nafahamu site ya kudownload IDM na haikuombi serial keys.
  Nenda google, type internet download manager free download. Chukua option ya 3. Nenda download from softonic. Then itapakua, ni kama 386mb. Lakini iyo ni shortcut. Nenda kwenye my computer>downloads. Alafu i-double click ile shortcut. Sema accept then anza kudownload. Ina 6MB kama sijakosea
   
 16. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kwani sitaweza kuiweka kwenye flash then nikaenda kufanya installation kwa kutumia flash? msaaada pls
   
 17. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Hiyo ni trial mkuu ukishatumia mwezi 1 lazima iexpre so hutoweza download tena mpaka uweke key/Crack au uiondoe hiyo IDM udownload kwa browser.
  Iwapo tayari umeshatumia trial kabla hata udownloa na kuinstall soft yako haitafaa kitu maana utaombwa key mkuu.
   
 18. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  sorry hizo key ni za windows 7. awali sikukuelewa coz una maombi dabo dabo mkuu so kama hujapata key za idm pitia hapa

  https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/283151-msaada-wa-serial-number-za-idm.html then fuatilia maelekezo niliyoweka kwenye post no 16 ni msaada tosha kwako
   
 19. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 60
  Congrats Abdulzara, kwa jinsi ulivyotayari kusaidi.
  Kwa nn wengine hatuko hivyo? Muda wote jokes hata pale mtu anapoomba msaada.

  Big up buddy!!
   
 20. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
Loading...