Mafunzo ya joomla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafunzo ya joomla

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kilongwe, Jul 9, 2012.

 1. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wakubwa tumeshaanza kutoa mafundisho ya joomla, unaweza kufuatilia kwa kwenda Ujenzi Tovuti pia ntakuwa natuma video hapa Jamii Forums.
   
 2. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tutajiyahidi kila siku kutoa Video mbili hivyo tunatarajia kumaliza ndani ya wiki moja kama mambo yakienda sawa na tutaanza kuangalia vitu kimoja kimoja kwa undani wake ( kwa advanced users)
   
 4. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sijakusoma vizuri hapo kwa advanced users means baada ya wiki kupita utakuwa unaenda deep zaidi au hizi tutorials ni kwa advanced users only.
   
 6. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hapana mafundisho haya ni kwa wale wanaoanza kusoma joomla (beginners), tukishamaliza kuna hatua nyingine ambapo tutaingia ndani zaidi. Ila ni dhahiri kuwa kwa kusikiliza mafunzo haya ya beginner utaweza kufanya mengi kwani nimetumia njia ya uhalisia.
   
 7. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sehemu ya nne ambapo tutaangalia Joomla kwa uchache wake, utaweza kujua nini kinapatika kwenye tovuti ya joomla baada ya msimiko. Source: AfroIT.com
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kazi nzuri saana kilogwe!!nimependa saana hii hatua kuweza kufikiwa.. kila la kheri!!

  i hope hutoishia njiani na utaendelea kutoa mafunzo!!!
   
 9. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Shukrani kaka Mwenyezi Mungu akupatie maarifa zaidi utujuze Mengi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Advicer

  Advicer JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Hakuna web ninayoweza download video ?ukiachana na youtube?
   
 11. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nashukuru wadau kwa utiaji wenu wa moyo, kiukweli ni kazi ngumu ambayo usipozamilia unaweza ishia njiani, ila ntajitahidi zaidi.

  Kuhusu kudownload, nikimaliza mafundisho yote, nitatengeneza DVD ambazo nitazigawa free vyuoni na kwa watu wanaohitaji, nachelea kuziweka online kwani kuna baadhi ya watu wao wanawaza $$, wanaweza kuzitumia kivingine wakafanya lengo lisifikiwe. Lengo letu ni kumsaidia yule mtanzania wa kawaida ambaye hana uwezo wa kupata elimu kama hizi.

  Ushauru ni kuwa kwa wadau wengine wenye muda na uelewa wa kitu fulani basi tunaweza kutengeneza Video nyingi za fani tofauti ili siku ya mwisho na sisi tuondokane na hili wimbi la umasikini.
   
 12. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Katika Video hii tutazungumzia jinsi ya kuandika makala yako ya kwanza kabisa kwenye joomla. Source: AfroIT.com

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  thanks for your sensible tutorial..
   
 14. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nilichokukubali Unatumia Lugha ya Kiswahili hii Inaonyesha mambo mengi Ikiwemo kuthamini Lugha Yetu.
   
 15. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Katika makala hii tutaangalia ni jinsi gani unaweza kutengeneza menu, kupanga, kuinyumbulisha na kuiunganisha na makala. Source: AfroIT.com
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Katika makala hii tutaangalia ni jinsi gani utaweza kuipanga tovuti yako ya joomla kukidhi muonekano unaohitaji. Source: AfroIT.com

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tuangalie ni jinsi gani tunaweza kuiendeleza joomla na kuifanya kuwa bora zaidi. Tutaangalia vitu kama module, plugin, components, lugha na templates. Source: AfroIT.com


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. m

  miminho Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  asante sana kwa elimu unayo tupa ,mungu atawakumbuka .
   
 19. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Katika video hii tutaweza kuona, aina za madule, jinsi ya kuzipata module, jinsi ya kuzisimika module, jinsi ya kuzionesha module kwenye tovuti, kutengeneza module yako ya mwanzo kabisa pia utaweza kujuma mambo mengine zaidi juu ya mpangilio wa Joomla Source: AfroIT.com

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kazi nzuri sana muzeee...

  [​IMG]
  hiyo ni zawadi kwa ajili ya mwezi mtukufu..
   
Loading...