Mwenye ujuzi na hii printer

sumni7

Member
May 8, 2012
71
10
Gudeveng!naombeni msaada jinsi ya ku2mia printer hp deskjet 2050A Kwa ku2mia pc yenye windows 7,32bit baada ya kununua nimegundua kwamba specification za mashine inatakiwa iwe windows 7,64 or 86 bit,nki2umia window xp inafanya kazi vizuri ila napenda ntumie window 7 natanguliza shukrani
 
.
Mkuu sumni7 unachotakiwa ni ku-download printer Drivers ambazo zitaendana na Version ya Window 7 unayotumia.

url


Cha kufanya download HP Deskjet 2050 All-in-One Printer driver hapa chini kwa kutumia hii link (ni special kwa ajili ya Windows 7)

Ukimaliza download, i-install kwenye Computer yako ... then utaweza kutumia Printer yako.


LINK: http://ftp.hp.com/pub/softlib/software12/COL32609/al-80767-3/DJ2050_J510_231.exe

.
 
.
Mkuu sumni7 unachotakiwa ni ku-download printer Drivers ambazo zitaendana na Version ya Window 7 unayotumia.

url


Cha kufanya download HP Deskjet 2050 All-in-One Printer driver hapa chini kwa kutumia hii link (ni special kwa ajili ya Windows 7)

Ukimaliza download, i-install kwenye Computer yako ... then utaweza kutumia Printer yako.


LINK: http://ftp.hp.com/pub/softlib/software12/COL32609/al-80767-3/DJ2050_J510_231.exe

.

dah nimefanikiwa kudownload na kuinstall lakini bado the same problm mpk nachanganyikiwa
 
dah nimefanikiwa kudownload na kuinstall lakini bado the same problm mpk nachanganyikiwa
.
Pole sumni7 sasa hebu angalia vizuri yafuatayo alafua upost tena hapa.


1. Hiyo Windows yako ni 7 ipi? ... Prof/Ultimate or what?

2. Je ni Windows 7: 64 bit au 32 bit?

Hakikisha vizuri ... then post hapa tena ili tukusaidie


======

By the way .....

[h=3]Computers running Windows Vista or Windows 7[/h]

  • Click the Start button
    4f6cbd09-148c-4dd8-b1f2-48f232a2fd33_818.jpg
    , right-click Computer, and then click Properties.
    • If "64-bit Operating System" is listed next to System type, you're running the 64-bit version of Windows Vista or Windows 7.
    • If "32-bit Operating System" is listed next to System type, you're running the 32-bit version of Windows Vista or Windows 7.
    The edition of Windows Vista or Windows 7 you're running is displayed underWindows edition near the top of the window.


=.
 
Wakuu habari zenu:
Nina wazo la kununua printer ya HP inayotumia hii technology ya CISS (Continuous ink supply system). Nilivutika na hii technology kutkana na nilivyoifikiri kuwa ni ya gharama nafuu kwenye ununuzi wa wino
.

1: Matumizi ya printer hii
Napanga kufanyia bishara, maeneo ya chuo nikiwa na target mambo makuu mawili. moja kupiga picha za passport size na mbili kuprint na photocopy (kama hi yo HP printer ina support copying)

2: Maswali tata niliyonayo.
Kabla ya kununua printer hii naomba mnisaidie technical details za hii printer na maswali haya
  • Je printer hii wino wake wa kurefill, unapatikana kirahisi, katika mantiki ya kwamba nsije kununua wino ambao ni incompactibe
  • Je ninaweza pata HP printer yenye hii system ya CISS? kama ndio ni wapi hapa Dar, shs ngapi na ni mdel gani? kama siyo HP printer je ni aina gani nyingine ya printer inasupport CISS?

  • Capaity ya ke ikoje on profit basis kama uwezo wa kutoa copy nyingi na ku print copy nyingi ukilinganisha na usual caltilage system
3: Naomnba msaada huu:
Naomba nisaidiwe majibu ya vitu tata hapo juu, pia kuna thread inayozungumzia hiyo system (CISS) kama kuna mtu analink naomba anishtue (PM), pia kwa mtu aliye na fyrther info advice please help
 
Back
Top Bottom