Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

wakuu salam Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english. Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mfano hii ni series ya prison break season 1 episode 21, nimeipende hii sehemu na nataka niitunze kwa picha mnato (snapshot) File la picha litaandikwa "Prison Break S01E21-00_17_15-00007 "...
2 Reactions
6 Replies
704 Views
Wale wapenzi wa games. Ikumbukwe hili game halijawahi kucrakiwa tangu mwaka 2016 litoke. Sasa linatolewa bure hadi tar 8 mwezi wa 9. So chakufanya ni ww kudownload pc app ya uplay then jisajili...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Usichokijua kuhusu Tecno camon 20 Premier Tecno wameamua aisee mwaka 2023 ni mapinduzi ya teknolojia tu, Leo nakuletea makala kuhusu Hii simu ya Tecno Camon 20 Premier 5G ambayo iliachiwa mwezi...
11 Reactions
121 Replies
11K Views
Habari wana JF, kuna habari nmekutana nayo uko instagram, kuna vijana wanawaongezea watu followers, like, views, na vitu venginevyo katika page zao za mitandao ya kijamii. Mambo yanaenda mbio...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
CHIEF MKWAWA na manju wengine wa IT naombeni ushauri wenu. Kwa budget isiyozidi 800k laptop gani itanifaa.
1 Reactions
9 Replies
887 Views
Habari wana jamvi. Naomba kuuliza, kifaa kinachotumika kurusha matangazo mubashara ya YouTube kinaitwaje na nakipataje, na vipi bei zake?
2 Reactions
2 Replies
903 Views
Mwenye tatizo la kufungiwa WhatsApp (WhatsApp banned) nicheki kwa namba 0684448888 tuone namna gani ya kusaidiana.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimepoteza simu wakuu, kuna namba muhimu sana humo. Kuna uzi niliuona humu ukiwa na maelezo (link) ya kupata namba kupitia Facebook. Msaada.
4 Reactions
28 Replies
40K Views
Wana jukwaa habari ya muda huu, naomba kuuliza kwenu kwanini Flash yenye ukubwa wa 64 GB au kuanzia 64 GB huwa hazisomi kwenye TV? Na je, nifanyaje ili iweze kusoma kwenye TV?
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Idadi hiyo imefikiwa ikiwa ni chini ya wiki moja tangu Mtendaji Mkuu wa Meta, Mark Zuckerberg alipotangaza kuuzindua, ambapo kasi yake inaonekana kuwa tishio kwa Mtandao wa Twitter. Wakati...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
https://www.thearchaeologist.org/blog/the-mystery-of-romanias-living-stones-they-grow-reproduce-and-breathe
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wakuu.. Naomba msaada wa kujua uwezo n storage hizi computer za chromebook. Kuna moja hapa nnayo ni ya acer na imekuja na lugha tofaut nmeshindwa kubadili lugha ila nmetafuta system...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Watu wengi wanaogopa kuingia kwenye setting za android Tv wakijua wanaweza kuhalibu mfumo mzima. Kwenye android Tv Kuna mambo mengi unaweza fanya ambayo ulikua huyajui kabisa ๐Ÿ˜!! 1) Change...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni tangu nwezi wa saba nafaidi mema ya internet ya Tigo postpaid. sina haja ya kujibana ama mambo ya kuzima data, natwanga tu. Offcourse kulikuwa na kash kash za speed kushuka usiku ila nilikuja...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Wataalama naomba maelekezo ya jinsi ya kufanya ili hii laptop icons zaa desktop zionekane Kama kawaida. Kwa sasa muonekano ni huu
2 Reactions
4 Replies
598 Views
Kwa yeyote anaefahamu bei ambayo mtu anaweza kutozwa pale anapohitaji mtu amfanyie video editing ya event like Birthday, marriage, graduation etc. Lkn pia poster huwa wanalipia kiasi gani wakati...
1 Reactions
7 Replies
603 Views
Mkutano huu ulifanyika Geneva nchini Switzerland ambapo Roboti zilijibu maswali ya wanahabari, zikiwa zimekaa au kusimama kando ya waundaji wao. Ama watengenezaji wa Roboti hizo Walithibitisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wataalam, naomba kujua tofauti ya hivi vifaa, hasa hii tower feni sijawahi kuitumia kabisa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ