Naomba link ya ule uzi unaozungumzia jinsi ya kupata namba za simu zilizopotea wa FB

aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
2,166
2,000
Nimepoteza simu wakuu, kuna namba muhimu sana humo. Kuna uzi niliuona humu ukiwa na maelezo (link) ya kupata namba kupitia Facebook.

Msaada.
 

kikiboxer

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
901
1,000
Namba zinarudi zote kama umepoteza simcard? Na je kama natumia kitochi pia zitarudi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom