Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari ya wakati huu wadau wa taknolojia. Nina shida na pixel 3xl yangu, nilikua naitumia Vizuri ghafla ikaniandikia there is no sim card though nimeweka sim card, nikarajibu kutoa Line na kuweka...
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Habari zenu wana JF, tumaimai mko vyema. Mie swali ni kuhusu kupokea mzigo, ukiwa umefanya order kutoka Aliexpress kuja Tanzania hasa Zanzibar mzigo unapokelea wapi? Ahsante
0 Reactions
2 Replies
407 Views
Ninaandika ujumbe huu kwa nia ya kutafuta fursa za ajira katika mambo ya VFX, modeling au architectural design. Mimi ni mtaalamu mwenye ujuzi katika maeneo haya na ninatafuta sehemu ninayoweza...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu: Niende moja kwa moja kwenye mada; Kwa kufahamu kuwa kuna watu wanatamani kujifunza Programming language bahati mbaya hawana kompyuta hivyo inapelekea kukata tamaa na kuishia njiani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kutokana na simu yangu Sasa kuzingua technically nataka nirudi kwenye vitochi mpaka uchumi wangu utakavyoamua vinginevyo. mnanishaurije ipi button nzuri ambayo inauwezo wa internet ya kuchungulia...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu salamu, Nimejaribu kununua bidhaa Ebay kwa kutumia Paypal nashindwa kabisa kulipia. Inaleta kitu kama hiki chini. Lakini siwezi kuproceed na Payment. Any idea kwa mtu aliyefanya manunuzi...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Naam pesa taslimu Tsh. 300,000/= ipo nahitaji kupata simu used kutoka mtumiaji wa Tanzania achana na hizi used from Dubai. Leta ofa yako tufanye biashara 🤝🏽
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Helo wataalamu wa softwares Nahitaji NVIVO 12 kwa kununua. Naipata wapi?
0 Reactions
4 Replies
582 Views
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Mfanyabiashara Elon Musk imetangaza kuweka kiwango cha idadi ya Tweets utakazoona kuanzia leo Julai 1, 2023. Waliolipia 'Twitter Blue' wataweza kusoma hadi Tweets...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu habarini nmekua interested Sana nakujaribu Jambo fulan online lakin kbla ya yote nmekatishwa tamaa na HIZI online payment method PAXUM CHECK COSMO CRYPTO CURENCIES nilikua nataka kufahamu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza, nataka kujua iwapo kama kuna namna ya kutumia akaunti moja ya uwakala wa simu mf. Tigo Pesa, M pesa, Airtel Money n.k na kuweza kutumia kwenye...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada wa jinsi ya kuboresha application yangu ya android. Niliiunda kwa uziefu wangu na kuuliza marafiki wenye uzoefu biashara lengwa. Niliifanya iwe na functions muhimu tu kwa mwanzo. Ila...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Vipi unasema umeona Kila kitu kwenye hii Dunia basi nakuambia Kuna maajabu ujawahi kuyaona bhana Kampuni ya MSCHF imetengeneza begi dogo zaidi ya Punje la Aragwe Yani sio poa [emoji16] Begi ni...
0 Reactions
2 Replies
395 Views
Wakuu, Habari naomba msaada kujua bei ya kioo ha Pc pamoja na charge yake ni HP.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Apple Toka kuanzishwa kwake mpaka Leo imefanya mapinduzi mengi ya Teknolojia lakini Leo nitakuambia kuhusu usalama wa vifaa vya apple kwa mwaka 2024. Apple ni Kampuni yenye nguvu sana ulimwenguni...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari. Mtaalamu wa kutengeneza lesson plan forms ambazo walimu wa shule X watakuwa wanajaza online na kuweza kuprint (PDF) tafadhali tuwasiliane. 255621538913. Pia inaweza ikawa application...
3 Reactions
6 Replies
572 Views
0 Reactions
3 Replies
783 Views
Samahanini sana, leo kidogo nipo serious. kuna mwamba amedukua account zangu za fb na insta. amebadilisha email na passeord nilizo sajilia. Mimi nina idea kidogo sana kuhusu hacking. bado...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Sababu za punguzo hilo ni Mdororo wa Uchumi na Ukuaji Mdogo wa Uchumi wa Dunia usioendana na Mapato ya Kampuni hiyo kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kampuni ya OpenAI inayoendesha mfumo wa Akili Bandia (AI) wa 'ChatGPT', inadaiwa kuchukua 'Bila Ridhaa na Kutumia Vibaya' Taarifa Binafsi za Watumiaji Mtandao kwa lengo la kutoa mafunzo katika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom