BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,379
- 8,123
Watu wengi wanaogopa kuingia kwenye setting za android Tv wakijua wanaweza kuhalibu mfumo mzima.
Kwenye android Tv Kuna mambo mengi unaweza fanya ambayo ulikua huyajui kabisa ๐!!
1) Change Device name
๐ญ Android tv yako imekuja ikiwa na jina lake pamoja na model number sio lazima likae ilo jina unaweza badilisha ukiamua.
Mfano kama vile Xiaomi wana android tv yao kwenye box limeandikwa MiTV-MOOQ1 wakati unaunganisha na Bluetooth unaweza kuliona ila unaweza kubadilisha.
โข Fanya hivi kwenye android Tv ingia setting menu upande wa kulia juu.
โข tafuta device preference chagua about
โข device name badilisha jina utakalo unaweza chagua waliyokuonyesha au ukandika lako.
2) Pin your favorite app
๐ญ Hivi unajua unaweza chagua app unazozipenda na kuzi pin app ambazo unatumia mara kwa mara kwenye Tv.
โข fanya hivi ingia home kwenye android tv
โข tafuta icon yenye alama ya + chagua app unataka kupin kwenye homescreen
โข app itajitokeza kwenye kioo chako kama favorite gusa app Kisha chagua move kuweka sehemu unayotaka unaweza tumia njia iyo iyo kuondoa.
3) Add another account
๐ญ Unaweza kuweka Akaunti nyingine ua email kwenye tv yenye mfumo wa android na kama ni mwana familia.
โข fanya hivi chagua account picture unayoiona kwenye home screen juu upande wa kulia mwa Tv yako
โข bonyeza iyo account unayoiona Kisha itakupeleka sehemu ya ku add Akaunti nyingine utaweza kufuata maelezo na ku add Akaunti kwenye Tv yako.
Sogeza picha kuongeza Maujanja zaidi ๐๏ธ
Ebu tuambie ni maujanja Gani unayajua kwenye Tv yako au ndo Tv ujapata bado ? ๐ We tuambie ata ya jirani yako ?