Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,284
- 2,593
[emoji189] Meta baada ya kuachia mtandao mpya wa threads umepata watumiaji zaidi ya milioni 30 watu mbalimbali waliweza kujisajili kwenye huu mtandao.
[emoji189] Threads mtandao ambao unafanya kazi kama Twitter umeunganishwa na app ya Instagram taarifa zinasema ukitaka kuifuta hii app shughuli unayo. meta kwenye sera zao wanasema
[emoji189] " Ikiwa mtu anahitaji kujiondoa au kufuta Akaunti yake ya mtandao wa threads inabidi ufute Akaunti yako ya Instagram kwaiyo yenyewe (automatic) Akaunti yako ya threads itajifuta."
View attachment 2680885
[emoji189] Kumbuka
Huu mtandao wa threads huko kwenye app ya Instagram kwaiyo mfumo mzima wa mtandao huu unashikiliwa na Instagram.
Umeshajiunga na huu mtandao wa threads Tuachie maoni yako?