Kuna vijana wanawaongezea watu followers

Termux

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
406
980
Habari wana JF, kuna habari nmekutana nayo uko instagram, kuna vijana wanawaongezea watu followers, like, views, na vitu venginevyo katika page zao za mitandao ya kijamii.

Mambo yanaenda mbio sana, AI mara uku kuna hiki mara kile kuna kile ilimladi tu dunia ipitue mabadiliko.

Mfano facebook, twitter, instagram, youtube, whatsapp na mitandao mengine, AI zinaendelea kukusanya data na kuzitumia katika matumizi mengine na makusudi ya wauzika.

Now days API zinakuwa dili na kuuzwa kwa watu na kuzitumia vibaya. Mfani API ya nida. Kuna watu wana access ya kujuwa details zako zato kupitia namba yako ya simu, wakiweka waapata habari zako zote ambazo zilikusanywa kupitia kitambulisho cha nida. Ambazo zengine ni privacy. Mfano, saini yako, picha yako, ulipo jiandikisha, mwaka wako ulio zaliwa na mengine mengi.

Tuweni makini sana na jamani. Mfano kuna picha nmezikita instagram kuna mtu anawaongezea watu followers, na vitu vengine. Nmeona baadhi ya account ni real na zengine fake. Je instagram wanatumia account zetu na kuuza data zetu kwa watu ili waongezewe followers, likes na views.

Unajikuta umemfollow mtu bila ya ww kumfollow, kupitia acvount yako. DATA ZMEKUWA DILI SANA NOW DAY, DATA ZETU ZINAUZWA SANA. WACHA NA MM NIONGEZE FOLLOWERS KATIKA PAGE ZANGU.

Link hizo jamani kazi kwenu wajuwaji wa mambo au wazee wa kitonga au slope. 📈🔐

Ishakuwa dili mpya ya mjini, sasa kwa wanao shikilia page za maofisi naona njia ya kukusaidieni kazi imepatikana. Ongeza kwa kiasi unachotaka muhimu ni shoko wako tu.

#Blue Tick unalipia kila mwezi mambo yamekuwa mepesi sana. Account yangu sasa ina 1M katika instagram bado blue tick ili na mm ni fake maisha hahah 💥😎
 
Ni pm hio link niongeze follower na mm
 
Nmeona 1k followers kwa 5,000 nilikuwa nataka hii sasa sijajuwa ni inafanya kazi au. Maana kuna dogo alinitumia link
Ok,ifanyie kazi utupatie majibu, hao 1K followers ni ghost au ? Hii ni tofauti na ile ya kuwalipa IG wenyewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom