Laptop gani inanifaa kwa laki nane

Cha msingi tujue kwa kazi gani?

Je typing tu na browsing?

Ama video editing na audio production?

Etc etc

Mtu akijua kazi zako ni rahisi kurecommend PC ipi itakufaa, hata kama unaanzisha library maana pia mziki wa kuconvert movies kwenda format tofauti sio rahisi pia

Ila kwa kawaida tu tafuta HP laptop yenye Core i5 , HDD 500, 2.4 Ghz processing speed, Battery 3hrs na ongezea External ya 1TB ukishaitumia hiyo kwa kazi zako next time utakapohitajo ya zaida utajua uende wapi maana tayari utakuwa ushajua zilivyo
 
Itakuwa browsing na typing a lot. Hii itakuwa ni side hustle nikiwa nyumbani after work.Right now Kuna kazi nafanya Ila I'm intending to go my way.
 
Soma comment hii hapo juu inatosha ila hata ukipata corei 3 beba
 
Soma comment hii hapo juu inatosha ila hata ukipata corei 3 beba
Thanks a lot bro, sometimes huwa tunadhani haya mambo ni generation hii, but inafika time mambo yako yanakwama. Then inatubidi usimame kupambana that's my story, nimelazimishwa na wakati no way out
 
CHIEF MKWAWA na manju wengine wa IT naombeni ushauri wenu. Kwa budget isiyozidi 800k laptop gani itanifaa.
Kama una Connection na Mtu Usa ama unaweza kuagizishia Online

-Lenovo ideapad 1i version ya i3 1215u ni $250 tu, Pamoja na usafiri na kodi pengine ifike ama isifike hio laki 8. Ina 4GB ram na 128GB ssd. Utahitajika pia ku upgrade kwa kuviongeza. Uwezo wa hio processor ni mkubwa sana na ina nguvu kushinda i7 yoyote za gen ya 10 kushuka.

-kwa soko La Tanzania Around laki 6 unapata Machine ya 8th gen core i5 ama i7, unaweza tumia hio laki 2 iliobaki kui upgrade ama ukatafuta version zenye dedicated gpu kama Za Nvidia Mx series incase unahitaji extra Graphics power.
 
Back
Top Bottom