Ps vita memory card

cc_africa

Senior Member
May 30, 2010
121
2
Hali zenu wandugu. Nombeni msaad wa kupata memory card ya sony playstation vita (ps vita) maana arusha nimetafuta kila kona sijapata,kama kuna mtu anaefahamu anisadie iwe mkoani.
 
Hali zenu wandugu. Nombeni msaad wa kupata memory card ya sony playstation vita (ps vita) maana arusha nimetafuta kila kona sijapata,kama kuna mtu anaefahamu anisadie iwe mkoani.

Unayo sample? Naskia ps vita inatumia memory card tofauti lakini still sony ni sony tu hawaachi tabia yao ya kushare vitu

Zunguka madukani na sample yako angalia digital camera mpya za sony linganisha memory card i hope utapata hata memory za sony ericson sometime zinaingiliana
 
kaka nimejaribu sandisk m2 haikubali japo infit vizuri. hata sony nayo ni hivyo hivyo. nimeabiwa lazima iwe ni ya sony ps vita og inauzwa tofauti
 
Back
Top Bottom