msaada wa windo 7 system activation

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
Wakuu, pc yangu inaniletea messege ya windows 7Build 7600, this coppy of windows is not genuine.uki start computer inasema the activation time is over. nimejaribu ku instal loader seven lakini bado tatizo lilko pale pale. naombeni msaada wakuu
 
Pole kiongozi, format upya kisha uinstall hiyo window 7 loader na hakikisha kama unatumia internet unaenda kwenye window updater, change setting unakataa isiupdate windows, jaribu hilo.
 
Mkuu MBUFYA usiwe na wasiwasi na wala hakuna sababu ya ku-reinstall au ku-format kama alivyosema sifongo hapo juu

...FANYA HIVI:

  • Bonyeza start, then type cmd ... ikionekana Right Click alafu chagua Run as Administrator
  • Ikifunguka type maneno haya slmgr –rearm alafu bonyeza enter
  • Ipe muda kidogo ikimaliza exit command prompt

Baada ya hapo restart computer utakuwa umemaliza tatizo lako & ile msg ya "windows not genuine" itaondoka

N.B:

Baada ya maneno slmgr kuna space alafu (-rearm) ni neno moja
Ikikataa mara ya kwanza unaweza ukarudia tena ku-type slmgr - rearm
 
ahsante mkuu, nimejaribu lakini imeniambia slmgr is not recognised as an internal or external command
 
nimejaribu tena imeniambia invalid combination of command parameters
 
.
Mkuu MBUFYA Kwani wewe unatumia version gani ya windows 7?! ... au ni Beta?

Basi fanya hivi ...

Do you happen to be on network connected by any chance? ... If so, I suggest you disconnect from the network and try through some other method.

Badala ya ile ya mwanzo yaani (slmgr –rearm) iache alafu tumia hii nyingine slmgr.vbs -rearm

Kama ikigoma rudia tena ila weka slmgr /rearm

Hit enter on your keyboard

N.B:

Angalia hiyo slmgr.vbs ni neno moja & kuna space baada ya vbs

Fanya hivyo alafu nipe maendeleo ili kama ikigoma nikuambie njia nyingine

.
 
Ahsante mkuu,,,,,,, computer imefaaaaa
.
Mkuu MBUFYA mimi nimefurahi kwa kuwa umefanikiwa kwa instructions (tricks) nilizokupa.

Si watu wengi wanajua hizi tricks ... natumaini kuwa uzi huu utawasaidia watu wengi wenye tatizo kama lako

All the best

Dotworld

Mimi ni mmoja kati ya wliofaidika na uzi huu!! Asante sana Mkuu, asante
 
mkuu imefaa na kwangu tatizo la windows not genuine limeondoka lakini kioo bado ni cheusi, nifanyaje? msaada tafadhali
 
Sasa mkuu oxlade mbona hamna tatizo hapo ... si Right Click desktop .. chagua Personalise ... then select (Windows 7 au Architecture theme) utakuwa umemaliza tatizo la Desktop Nyeusi
 
.
Mkuu MBUFYA mimi nimefurahi kwa kuwa umefanikiwa kwa instructions (tricks) nilizokupa.

Si watu wengi wanajua hizi tricks ... natumaini kuwa uzi huu utawasaidia watu wengi wenye tatizo kama lako

All the best

Dotworld
.

Dotworld amini usiamini umenisaidia sana. Hilo tatizo limejitokeza jana jioni, leo nilipanga kumtafuta mtaalamu ili anifanyie installation. Sasa hivi naenjoy baada ya kufuata maelekezo yako. Nime-save hayo maelekezo ili siku nyingine yanifae. Je, tatizo hilo linaweza kujirudia?
 
Mkuu MBUFYA usiwe na wasiwasi na wala hakuna sababu ya ku-reinstall au ku-format kama alivyosema sifongo hapo juu

...FANYA HIVI:

  • Bonyeza start, then type cmd ... ikionekana Right Click alafu chagua Run as Administrator
  • Ikifunguka type maneno haya slmgr –rearm alafu bonyeza enter
  • Ipe muda kidogo ikimaliza exit command prompt

Baada ya hapo restart computer utakuwa umemaliza tatizo lako & ile msg ya "windows not genuine" itaondoka

N.B:

Baada ya maneno slmgr kuna space alafu (-rearm) ni neno moja
Ikikataa mara ya kwanza unaweza ukarudia tena ku-type slmgr - rearm

Mkuu nashukuru sana,it was helpful. Nilifanikiwa na sasa kitu kipo mwake.Shukrani nyingi zikufikie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom