Slogan ya zantel ina maana gani wakubwa" part of et salat "

etisalat ni mtandao mkubwa wa abu dhabi na upo nchi nyingi mfano nigeria pia upo so wanaposema part of etisalat ni maneno ya kibiashara usije ukafkiria zantel ni kimtandao kidogo.

Mfano mzuri kuna kipindi etisalat walikua na ubia na barcelona ya hispania so hata zantel wakawa wanaekwa kwenye matangazo na mabingwa hao wa zamani wa ulaya
 
Zanzibar Telecom Ltd. became a joint venture between

The government of Zanzibar – 18%
Emirates Telecommunications Corporation (ETISALAT) –51%
Kinbary Investment of the Channel Islands – 14% and
Meeco International of Tanzania –17%
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom