msaada wap wanafundisha photocopy and printer mantainance? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wap wanafundisha photocopy and printer mantainance?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ruhazwe JR, Sep 24, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  naitaji kujifunza mantainence za photocopy na printer,wapi wanafundisha?msaad plz
   
 2. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Kupata shule ya aina hiyo ni ngumu kwani huwezi pata shule wakawa na aina nyingi za photocopy na printer ili uweze jifunza.Ushauri wangu kama huja ajiriwa tafuta kampuni wanao deal na matengenezo ya hivyo vitu nenda pale omba hata kuvolunteer for the sake of knowledge si mbaya utajifunza.Kama umeajiriwa,bado in your spare time(say weekend) fanya kama nilivyokwambia mwanzo.Sijui uko mkoa gani kwa Dar kampuni ni nyingi,do you home work and nenda kaongee nao.Usione soo sema nao.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  hivi hayo mambo hadi mtu uyasomee?
   
 4. hodogo

  hodogo JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeupenda ushauri wako. Mimi pia nilikuwa nahitaji kitu hiyo na niko Dar, tafadhari kama unaweza kusaidia kwa kutaja vijiwe vinavyoweza ku-accept mavolunteer kama mimi
   
 5. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Si rahisi kujua wapi wanahitaji volunteer,wewe unayehitaji unaweza fanya kitu tunaita" door to door" unaenda ofisi moja baada ya nyingine.Fika katika ofisi husika waelezee shida yako unaweza saidiwa.Cha muhimu usiwe mtu wa kukata tamaa kwani majibu utakayokutana nayo mengine hayatakuwa mazuri.Sehemu ipi uende siwezi jua specific,ila unaweza ulizia maduka makubwa yanayouza printers/photocopy machine say product ya hp,then ukifika pale naamini ukiwauliza sehemu ambapo wanatengeneza printers kwa wao itakuwa virahisi kupajua.Fanya hivyo kwa maduka makubwa kama vipi wambie unaprinter yako au photocopy unatafuta fundi,wakikuelekeza ukifika kwa fundi unabadilisha story.Unaomba kujifunza kama inawezekana.Sehemu Dsm zipo nyingi sana,do your home work find them.Ni hayo tu.
   
Loading...