kitu cha kushangaza... ELECTRICIANS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kitu cha kushangaza... ELECTRICIANS

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by wakuvuma, Sep 28, 2012.

 1. w

  wakuvuma Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakati mvua ikiendelea kunyesha mbele ya frem ya duka moja apa ukonga nikiwa nimesimama ghafla tukaona bulb ya umeme (energy saver) ikiwa inawaka waka yan on/off...kuchek kwenye switch
  iko off
  yeyote awezaye kutolea maelezo
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Usisogelee wala kushika bulb ya namna hiyo, piga simu tanesco
   
 3. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hilo linawezekana endapo switch ikiwa inatatizo
   
 4. w

  wakuvuma Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh toa maelezo yako mkuu kw nin iko ivyo
   
 5. w

  wakuvuma Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa inawezekana lakn ni suala electron-mobility watu wa electronics wanajua vzur ngoja tuwaskize
   
 6. mujungu

  mujungu Senior Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kuna leakage current , earthing sio nzuri.
   
 7. w

  wakuvuma Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  af hik kitu leakage currents kinakuaje kaka vile
   
 8. w

  wampinda Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  maji ya mvua yalikuwa yanachirizika ndani ya switch na kuisababisha kuunga(on) mkondo na taa kuwaka,mchiriziko ukikata switch inakata mkondo(off) na taa inazima,kitendo kinaendana na kasi ya mchiriziko wa maji ya mvua.
   
 9. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,155
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  May be!!
  Kwetu kuna mabanda ya uwani sasa mvua ikipiga ukutani circuit breaker inakata umeme nyumba nzima je hili nalo husababishwa na nini?
   
 10. w

  wakuvuma Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo tatzo linaanzia kwenye switch
   
 11. w

  wampinda Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  baadhi ya umeme unaopaswa kurudia njia ya circuit breaker unakatisha njia ya ukutani kukamilisha mkondo aridhini(earth leakage)kwa njia ya maji ya mvua yaliyopenya katika sehemu uchi(bare) ya mfumo wa umeme vibandani.breaker hiyo ni nzuri kwa matumizi.
   
 12. w

  wampinda Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  tatizo linaanzia kwenye mpenyo wa maji kufikia kupenya pia kwenye switch
   
 13. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  imbalance flow of currents ktk coils ndani ya circuit breaker yawezekana ikawa sababu!
   
 14. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Pia radi huwa inasababisha kitu kama hicho, kuna wakati nilikuwa nafanya kazi mikoa ya Kagera wakati wa mvua kuna radi sana, tena zile za nguvu,kuna wakati hata mvua hainyeshi inapiga radi kubwa na generator kubwa iliyokuwa ofisini kwetu inajiwasha yenyewe na wakati mwingine hata jenerator isipojiwasha taa zinawaka na kuzima na hapo ni wakati wa ule mwanga mkali kabla ya ule mngurumo mkubwa wa radi.
  Sijui umeme wa radi huwa unajiungaje hapo na kuswitch on generator.
   
 15. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hapo nadhani kuna ishue ya leakage inayosababishwa na maji, pia earth wire itakuwa imepigwa kizembe. Coz hiyo ni short ambayo kujua inakoanzia ni vigumu. Ila kama kulikuwa na radi basi thats another issue
   
 16. w

  wakuvuma Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  apa vip nkisema clouds zinabeba negative charge so zinapokutana na waya postv umeme unaflow kwny bulb
   
Loading...