Msaada ku-install vodafone modem kwenye dell pc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada ku-install vodafone modem kwenye dell pc

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by selestin john, Sep 26, 2012.

 1. selestin john

  selestin john Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Please wakuu,naombeni msaada mwanzoni nilikuwa natumia internet kwa modem ya vodafone lakini baada ya kushusha window tuu nikii-connect inaleta message "welcome to found new hardware wizard" na inaonyesha kwamba inahitaji driver, lakini nimejaribu karibu cd kama 3 hv za drivers na imegoma kufanya installation,dizain kama nimedata maana mpaka nimeshusha window kama mara 4 lakini bado,msaada tafadhali nimekwama
   
 2. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35


  chukua mordem yako chomeka ktk pc nyengine halafu fungua my computer utaona mordem yako mfano ni drive (f) open kwenye mordem yako copy hiyo software yote ya mordem yako weka ktk folder than weka ktk flash nenda ka install ktk pc yako than chomeka mordem yako hapo itaona driver jaribu lete majibu
   
 3. selestin john

  selestin john Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ngoja nijaribu mkuu
   
 4. selestin john

  selestin john Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nimejaribu kwenye computer kama 3 inaleta message ileile wakuu,sijui nifanyaje?
   
 5. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  aina gani ya mordem unatumia ni model number gani?
   
 6. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  tafta mtu mwenye modem kama yako, ichomeke kwenye pc yake fungua hiyo modem copy mafile ya dashboard ya hiyo modem weka kwenye flash kainstall kwenye pc yako then chomeka modem yako ninadhan itasoma.
   
 7. selestin john

  selestin john Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ni vodafone K 3570-Z
   
 8. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
 9. selestin john

  selestin john Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ngoja nitaichukua baadae maana kwenye simu yangu dizain kama kuna step moja ktk downloading hv inazingua so nitarejesha majibu
   
 10. selestin john

  selestin john Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Thanks sana nimedownload software na kuinstall sasa hv fresh ki2 cha 3g mpango mzima,jf daima naikubali,thanks sana
   
 11. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wakuu dizaini kama nina issue kama hiyo, but mm inainstall vizuri, but at the end ukifungua application inaonyesha 'no device ensure all devices are properly connected' lakini kwenye pc zingine inapiga mzigo kama kawaida..
  another issue ambayo labda inaweza kuwa helpful, nikiichomeka modem kuna issue inaniletea sijui new device, inakuwa kama imerecognize USB na inainstall, then ikifinish bado inarudia kurecognize, at the end inasema 'your device may not work properly..nimeunistall kam mara 5 but the same...
   
Loading...