Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,070
- 102,571
Sorry wakuu. Hapa shuleni nahisi wamefungia baadhi ya websites. Walianza na facebook, ila watu wamepata njia ya kufanya ili kuingiza. Wanatumia secure browser. Yaani oale penye http: **** wana edit s inakua https:
Tatizo lipo YouTube, ata ukiongeza s inaishia kufungua tu, ila ikitaka ku play haitaki. Inaonesha kama hakuna net. Sijui kuna any njia nyingine hapa?
Ata nikitaka ku download video za YouTube kwa kutumia online video capture, hakuna kitu..