Msaada kuhusu screen ya simu Huawei u8650

Msaada kuhusu screen ya simu Huawei u8650

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
1,065
Reaction score
1,035
Wanajukwaa nina simu yangu ya Huawei u8650 zile za tigo. Lakini juzi kwa bahati mbaya nikaidondosha ikaland kwenye screen na ikatokea crack upande wakushoto kwenda kulia chini ..na crack yenyewe inaniumiza roho mno sana sana nikiwa kwenye jua maana ndio inaonekana sana na sina ela ya kununua mpya ..Naomba msaada wenu kama mtu anajua sehemu Dar au hapa mwanza wanao weza kunibadilishia kioo ...ahsanteni
 
Crack ndio kama mnavo ona
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1352015189351.jpg
    uploadfromtaptalk1352015189351.jpg
    33.4 KB · Views: 51

Similar Discussions

Back
Top Bottom