mwenye link ya movie SKYFALL

mwenye link ya movie SKYFALL

mshihiri

Senior Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
138
Reaction score
89
mambo vp naomba mwenye link ya movie mpya ya James Bond [h=1]skyfall 007[/h][h=1][/h][h=1][/h]
 
Mmmmh utapata mbaya sana subiri rip yake itoke.
Nenda torrent angalia

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Si muende theater tu wabongo kwa ujanja janja khaa
 
nasikia imetoka tarehe 26 sijawa na uhakika bado
 
Duuh wabongo bana,muvi inatoka leo,jichange elfu 10 tu tukaangalie.
 
Nimehanya Torrent zote nimetoka patupu labda tuwasubiri wajuzi wengine waje
 
me nasubiri DVDRip hizo za saivi ni camrips quality hamna kabisaaa
 
Kwenye Torrents ata hzo Cam Rips bado, ndo maana nkajua bado haijatoka. Bt inabdi uwe mvumilivu inaweza take time kwl mpaka DVD/Blu Ray zitoke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom