Nahitaji Blog yangu Binafsi.....

Nahitaji Blog yangu Binafsi.....

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,409
Membaz hope mko ok kabisa poleni na Mambo ya NSSF na SSRA ......

I Need to own my fashions blog naombeni msaada wa wapi nianzie....Natanguliza shukrani...
 
Nyani Ngabu siwezi kukupiga ban zaidi ni warning tu nakukwambia nafuta kauli.
Fidel80 hii nataka niwe Mod mwenyewe niwe IT mwenyewe labda nikizidiwa
maana weye naweza kukuhitaji kumbe uko kaunta na kabottle ka ...Balimi
 
Last edited by a moderator:
mi nakushauri usifungue kwa style hio tafuta
1.host yako mwenyewe
2.install script ya wordpress
3.search google template ya fashion
4.install template
5. Anza kublog

Step ya 1 hadi ya 4 unaweza ajiri mtu au ukafanyiwa bure
Step ya 5 fanya mwenyewe
 
thank you Blog ikiwa online nitaweka hapa muicheki
Mbarikiwe niko busy na mchakato
 
Membaz hope mko ok kabisa poleni na Mambo ya NSSF na SSRA ......

I Need to own my fashions blog naombeni msaada wa wapi nianzie....Natanguliza shukrani...

mkwawa kafafanua vizuri, achana na blogger, tumia wp, au joomla for blogging, host mwenyewe, enjoy blogging
 
hi,
firstlady if interested about blog visit this blog kuna contacts watakutengenezea blog kulingana na hitaji lako alfu blog iliyo simama

Fununu Habari
cheers

asante sana wapenzi kwa nia njema mnayoonyesha kunisaidia
i am working on it
 
Back
Top Bottom