MSAADA; Nokia C3-00

murugalama

JF-Expert Member
May 28, 2012
231
81
Wanajamvi kwanza kabisa natoa salamu. Nimekuwa nikitumia simu yangu km miezi 9 bila matatizo lkn juzi imepoteza settings zote upande wa phone memory. kwa hiyo siwezi kupata huduma za web. Nimejaribu restore factory setting nayo inaniomba security code ambayo siikumbuki kabisa. Wadau naomba msaada wenye ujuzi ili niweze rudi online kwa kweli nimekuwa bored
 
nenda setting kisha configaration then personal configaration hapo uta add new....kama utashindwa fanya hivi kama ni voda andika wap nokia 6300 to 15300....kama airtel ALL to 232...utafanikisha
 
nenda setting kisha configaration then personal configaration hapo uta add new....kama utashindwa fanya hivi kama ni voda andika wap nokia 6300 to 15300....kama airtel ALL to 232...utafanikisha

Mkuu nashukuru kwa msaada, nimeisha jiunga na vodacom lkn ninachohitaji ni kupata free search engines ambazo zina option mbalimbali tofauti na vodacom. kuhusu configuration setting nime google tatizo ni preferred access point na personal account ndio zimeniona. Wakuu msichoke kunipa maujanja.
 
Back
Top Bottom