Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

salama jaman, mimi sina mda saana kwenye hii blog. ila mbona niku post topic mpya, nikuja kuingia jf, siioni tena, je Inakuaje hapo?
0 Reactions
3 Replies
945 Views
Cha msingi uwe na CD ya hiyo simu, install ktk computer yako then I plug halafu ktk menu ya desktop application kwenye tools kuna option ya "connect internet by using smartphone" select hiyo then...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kuna tablet hapa operation system ni android sasa mimi mgeni kwenye mambo hayo nashindwa tumia internet kwenye moderm nikiweka line ya tigo network haisomi nikiweka ya voda network inasoma lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabodi, Juzi usiku nikiwa bar fulani maarufu karibu na Mlimani City, jamaa aliniafuata mezani na kuniambia kuna mzigo wa I Phone 5 pieces 2, na I Phone 4s pieces 3 umeibwa Mlimani City!, na...
2 Reactions
48 Replies
8K Views
jiunge na vodacom wajanja 9t kwa 200 ingia google then search hii 'Watch 1 vs 2 live stream free ronaldo7.net' kwenye 1 vs 2 weka timu zinazocheza mfano 'Watch Anzhi vs Liverpool live stream...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
nimeandka php script kwa ajil ya kukonect na ku query kwny database ila niki run kweny browser ina be displayed km ilvyo, sasa sielew kuna tatizo gan(script ni full php in <? ?&gt...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
wadau nisaidien,nilikua nina conect kwenye phpadmin ku create database nikapata mesej hii hapa Access forbidden! You don't have permission to access the requested directory. There is either no...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,eti ukijiregister ebay pale kwenye "Postal code" unajaza nini,nataka nijue unajaza P.O.Box au kitu gani kingine....Thanks in advance.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
windows yangu ni WINDOWS XP PROFFESIONAL SP3 KUNA SMS INASEMA *YOU MAY BE VICTIM OF SOFTWARE COUNTERFEITING* THIS COPY OF WINDOWS DID NOT PASS GENUINE WINDOWS VALIDATTION MSAADA JAMANI NIFANYE...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama kuna mtu yeyote mwenye ufahamu kuhusu hii course ninaomba anisaidie kunijuza mambo mawili matatu. Ni wapi wanaifundisha vizuri? Ipo applicable hapa Tanzania? Ni cheti kinachojitegemea au ni...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wadau natumia window 7, Sasa imeniandikia this windows is not genuine. Naombeni msaada jinsi ya kusolve hii inshu, msaada please. ASANTENI
0 Reactions
2 Replies
341 Views
Nataka kufungu Easy TV nyumbani lakin sina uhakika kama iko poa coz siskii ikiongelewa sana kama Star Times!!! naombeni ushauri wenu!
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Bandugu pc yangu inatoa mwanga mkali sana na cjui jinsi ya kuupunguza huku natumia kusomea msaada plz!
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu email yangu imejibadilisha password ghala, Najaribu kuirejesha naambiwa ni andike email niliyotumia kama kama mbadala alternative email au yale maswali niliyojibu siku naifungua Lakini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
:tongue:What z this software plz :shock:&How does it work,U can tel plz if u feel it.......:lol:
0 Reactions
9 Replies
807 Views
Wakuu,naomba msaada configuration ya email accounts kwenye Black berry 9860. Ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Aisee nlikuwa nauliza application gani inaweza nisaidia ili kujaza form nliyodownload (PDF ) kwenye android! Kama unajua na link ya kuidownload naiombeni.naombeni mnisaidie
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bundle ya Balckberry ya tgo ndo nitumiayo inayosumbua sana, nimeichoka! Voda na Zantel bundle za BB ipi ni nzuri wadau...msaada !
0 Reactions
16 Replies
3K Views
wadau sincf nmeona kemikali wanazotumia kutengeneza pepsi inadil na science basi nmeuliza hili swal hivi kwa nini pepsi hizi yenye muundo wa chupa mpya zimekua mbaya mpaka basi yani wameongeza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wanajamvi wenye maujuzi ya haya makitu naomba msaada wa kuiflush hii moderm yangu ya airtel model MF 190 IME 865720018930146 nataka niweza kuitumia na line nyingine msaada wenu wa kuu.
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…