Black berry 9860

Black berry 9860

Teye

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
39
Reaction score
3
Wakuu,naomba msaada configuration ya email accounts kwenye Black berry 9860.

Ahsanteni
 
Email configuration are same for all blackberries go to menu setup email settings then add mail then you are done
 
Mkuu umejiunga na blackberry data plan? kama siyo usijisumbue na hizo configuration maana hazitafanya kazi... ukijiunga na any bb data plan unatumiwa configurations zote kwa pamoja zikiwemo na za browser.
 
Back
Top Bottom