akohi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 787
- 527
Cha msingi uwe na CD ya hiyo simu, install ktk computer yako then I plug halafu ktk menu ya desktop application kwenye tools kuna option ya "connect internet by using smartphone" select hiyo then OK...done.
Lazima simu yako iwe na salio
Enjoy!!!
www.oric.co.tz and www.aio.co.tz
Lazima simu yako iwe na salio
Enjoy!!!
www.oric.co.tz and www.aio.co.tz