Help Me: Cisco Certified Network Associate (CCNA).

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,958
6,075
Kama kuna mtu yeyote mwenye ufahamu kuhusu hii course ninaomba anisaidie kunijuza mambo mawili matatu. Ni wapi wanaifundisha vizuri? Ipo applicable hapa Tanzania? Ni cheti kinachojitegemea au ni lazima uwe na cheti kingine ili upate kazi? Mtihani wake unakuwaje? Ikibidi naomba uniInbox tuwasiliane vizuri. Nimepata hela ya kutosha nataka kuisoma kama nikiona inalipa.
 
Mkuu kuna mambo mawili,unaweza ukasoma kupitia academy,kwa utaratibu wa semesters,faida kubwa ya njia hii ni kwamba ktk mitihani ya mwisho ya semester ukipata 75% basi certificaton paper utalipa nusu ya gharama
Njia ya pili ni self studies,hapa unasoma intro,routing,switching and WAN,no stories ukitoka unapiga paper
Nakushauri utumie self studies coz haina gharama,material ni yale yale,ukimpata mtu akakuelewesha vitu vidogo tu fresh
Kuhusu kulipa,yes, Networking kama ukielewa technology yake na kufaulu inalipa sana
 
Contact this number 0715 46 56 21. He's going to help ya.
 
Mkuu kuna mambo mawili,unaweza ukasoma kupitia academy,kwa utaratibu wa semesters,faida kubwa ya njia hii ni kwamba ktk mitihani ya mwisho ya semester ukipata 75% basi certificaton paper utalipa nusu ya gharama
Njia ya pili ni self studies,hapa unasoma intro,routing,switching and WAN,no stories ukitoka unapiga paper
Nakushauri utumie self studies coz haina gharama,material ni yale yale,ukimpata mtu akakuelewesha vitu vidogo tu fresh
Kuhusu kulipa,yes, Networking kama ukielewa technology yake na kufaulu inalipa sana

Nashukuru sana mkuu, nimeipenda hii ya self studies na nimejaribu kutafuta vitabu online nikakipata kimoja kizuri sana ila tatizo naona litakuwa kwenye practical cause nahisi inahitaji practice ya kutosha. Ninaingia leo town kuifuatilia ili nijue kama nitachukua ipi kati ya hizo options mbili ulizonipa. May God bless you.
 
mtu alie piga diploma anaweza soma hii kitu?

Kwa jinsi nilivyoambiwa mtu yeyote anaweza kusoma ila for your own sake it's better uwe na idea na haya mambo. Ni kama basketball, hakuna sheria inayozuia mtu mfupi asicheze ila ukiwa mrefu inasaidia.
 
kaka pia unaweza chek na hawa jamaa, mart networks wapo na matrainer wa ukweli,
 
wapo masaki, chole road, au ingia fb, au google mart networks, ni pm # yako nimtel jamaa akuchek,
 
chek nao 0713841019 number ya trainer hyo, mambo ya D-link, cyberoam kila ki2!
 
kaka pia unaweza chek na hawa jamaa, mart networks wapo na matrainer wa ukweli,

Leo nilizunguka town kuhusu hii kitu nimeamua kuisomea Aptech, kama kuna mtu alishawahi kufanya course yeyote na hawa watu naomba anijulishe tafadhali ili nijue kama naenda sehemu sahihi au la. Nimepanga nianze Alhamisi hii.
 
Kwa jinsi nilivyoambiwa mtu yeyote anaweza kusoma ila for your own sake it's better uwe na idea na haya mambo. Ni kama basketball, hakuna sheria inayozuia mtu mfupi asicheze ila ukiwa mrefu inasaidia.

Jameni muwe mnazitambua lugha za biashara.I am talking from experience,hii ya kila mtu anaweza kusoma ilisababisha class ya watu fulani igawanyike mwingine yuko sem3,mwingine bado yuko ya kwanza.CCNA ni proffesional course,ni muhimu ukawa na knowlegde ya Networking whether una degree au diploma ni muhimu ukawa ulisoma networking au currently unafanya kazi inayohusika na networking.kama huna knowledge ya networking unaweza soma ila maisha yakiwa magumu usishangae.
Nashauri kama una muda na pesa nenda kwenye chuo wanachofundisha nia ni uweze kupata real device za kupractice na si simulation pekee yake.Straight cable,cross overcable huwezi kuzitengeneza kwa simulation.Amkeni
Vyuo ni vingi kuna UCC,DIT, na vingine vingi,siwezi kukushauri uende wapi coz nilishafundisha na mtu akinifunzisha akiwa myeyushaji namgundua tangu day one.Vyuo vingi kuna ka uyeyushaji ktk masomo ya technology,chuo fulani wanafundisha vizuri unaweza sema hivyo depending na background yako kwa masomo hayo.Kwa mfano unasoma Cisco ,binary number convertion huzijui,utaweza vipi mambo ya IP address,sub-netting na super-netting.
Cisco siyo simple kama wengi wanavyozani na inategemeana na wewe unataka uijui ktk level ipi,unataka CCNA ya kunywea maji au uwe deep.
To cut the story short kamata pesa,nenda sehemu ambapo wanafanya real practical kwa wingi kama Cisco wanavyo recommend,vyuo vingi practical myeyusho that is why sitakwambia kasome chuo fulani.
Kabla ya kusoma chuo,tafuta waliosoma hapo waulize pako vipi .
Ni hayo tu,the way I see it.
 
Leo nilizunguka town kuhusu hii kitu nimeamua kuisomea Aptech, kama kuna mtu alishawahi kufanya course yeyote na hawa watu naomba anijulishe tafadhali ili nijue kama naenda sehemu sahihi au la. Nimepanga nianze Alhamisi hii.

Binafsi nilisomea ucc pale ni sehemu poa koz nilifanya Lab nying sana nikatoka niko poa balaa na hiyo ni kutokana na idadi ya wanafunz wachache wanaochukuliwa. Nilimaliza na nkafanya paper zao zote hadi final na kuwa certified ko kwangu ucc ni the best. Manake unaweza soma ukapewa gamba ila ukawa hujafanya paper zenyewe za kuwa certified ambazo weng wanaingiaga mitin.
 
CCNA haihitaji kozi kusema ukweli na haihitaji hardware kufanya practical, kama una comfort nzuri na computer tayari, download Packet Tracer inatosha kabisa kwa CCNA pia GNS3 kama unataka.

Tafuta video za TrainSignal na CBT Nugget za CCNA, YouTube pia topic yoyote usiyoelewa.

Kuhusu kazi hilo linategemea obviously ila CCNA ni entry level certificate so usitegemee makubwa sana.

Sign up site ya Cisco Learning Network wana data zote za mtihani na nadhani kuna mtihani wa kutest kuona ukoje.
 
Kaka hapo kwenye red natofautiana na wewe kidogo,nakubaliana na wewe kuhusu hayo material uliyoyasema hapo juu in addition kuna software inaitwa testout pia ni nzuri.Ukisoma CCNA,humo humo kwenye notice kuna lab siyo zile za packet tracer .Mnatakiwa kuwa na real device kuzifanya kumbuka baada ya shule utaenda kufanya kazi na real device na siyo simulation.Kuna baadhi ya configuration zinafanyika kwenye simulation ila kwenye real device hazifanyiki.Nakubaliana na wewe kwamba simulation zinasaidia ukilinganisha na mtu asiyetumia kabisa.Ila ni bora mtu yule aliyetumia simulation na akafanya real practical huyu atakuwa safi.Kwa mfano kwenye packet tracer straight cable,cross over cable unaclick tu unazipata ila in real life utatakiwa kutengeneza sasa kama hujui jinsi ya kuzitengeneza si ni tatizo tayari.Kwa kifupi na kubaliana na simulation software ila na real practical ni muhimu zaidi.Vyuo vingi real practical hawazifanyi kwa wingi labda tatizo ni resorces au muda na gharama.
 
Nenda kapigie DIT dogo, vyuo vingine miyeyusho tu, utaishia kusimuliwa tu bila ya kufanya real practicals.
 
Back
Top Bottom