Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
wadau sincf nmeona kemikali wanazotumia kutengeneza pepsi inadil na science basi nmeuliza hili swal hivi kwa nini pepsi hizi yenye muundo wa chupa mpya zimekua mbaya mpaka basi yani wameongeza sugar mpaka inakera mimi kama mteja na mpenzi wa pepsi kwa kweli imeniuma mno kukosa ile good taste ya hapo zaman pepsi jirekebishen wadau nanyi pia toeni maon