Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
Wakuu email yangu imejibadilisha password ghala,
Najaribu kuirejesha naambiwa ni andike email niliyotumia kama kama mbadala alternative email au yale maswali niliyojibu siku naifungua
Lakini vyote nimesahau!
Sasa nakuombeni msaada wenu wakuifungu, kwakuwa ina nyaraka muhimu sana!
Asante sana!