Easy TV ni ya Ukweli au nao Wazushi!

T3RN3K

Member
May 30, 2011
92
56
Nataka kufungu Easy TV nyumbani lakin sina uhakika kama iko poa coz siskii ikiongelewa sana kama Star Times!!! naombeni ushauri wenu!
 
Wazushi na matapeli wakubwa walianza vizuri na channel nyingi baadaye ikawa inapotea mojamoja na hatimaye local zote zikapotea ukiwauliza wanatia longolongo nikaamua kuachana nao na hata kuna jamaa zangu walikuwa wanatumia wameshaachana nao. Na mashaka hata kama wanavalid license ya TCRA
 
Dah! thanx guys! yani ndo nlikuwa nataka kufunga kesho!! Kwa hyo whats da best: Star Times, TING and others which u know!???
 
Dah! thanx guys! yani ndo nlikuwa nataka kufunga kesho!! Kwa hyo whats da best: Star Times, TING and others which u know!???

Ting wapo kikdini zaidi' ni channel za dini tu mambo ya intertein hamna kitu, startimes nawafagilia.
 
Tena Ting wanaonekana ni matawi ya juu kama DSTV, nao wamezigawa channel kwa mafungu na kila fungu na bei yake. Nakushauri kama unataka kwenda njia ya walala hoi bora nenda Star Times, kama fedha si tatizo bora ujiamulie kwenda DSTV moja kwa moja kwingine ni hadithi ndio nyingi.
 
Wazushi na matapeli wakubwa walianza vizuri na channel nyingi baadaye ikawa inapotea mojamoja na hatimaye local zote zikapotea ukiwauliza wanatia longolongo nikaamua kuachana nao na hata kuna jamaa zangu walikuwa wanatumia wameshaachana nao. Na mashaka hata kama wanavalid license ya TCRA
Natumia Easy TV sasa kwa zaidi ya miaka miwili. Hawa wachina wapo safi sana na Antena zao zipo strong! Kuna jirani yangu ana Star times ni full chenga, halafu hapati local chanels!
 
Natumia Easy TV sasa kwa zaidi ya miaka miwili. Hawa wachina wapo safi sana na Antena zao zipo strong! Kuna jirani yangu ana Star times ni full chenga, halafu hapati local chanels!

acha kudanganya watu, hzo chenga ww umeziona wapi na star times? mpotoshaji mkubwa, pia local channels zipo clouds, tbc 1 n2, channel10,
 
acha kudanganya watu, hzo chenga ww umeziona wapi na star times? mpotoshaji mkubwa, pia local channels zipo clouds, tbc 1 n2, channel10,
Hadanganywi mtu hapa, tunaongea ukweli uliopo! Jaribu kutumia Easy TV ujionee, yaelekea wewe ni mgeni wa ving'amuzi! Bythen, Star temes ni ya mwaka jana tu, wakati Easy TV ipo kwa more than 5 years!
 
Star times inakimbiza!.hii easy tv ndo naisikia leo.
Yeah, huwa unaisikia na kuona Matangazo ya Startimes,. EasyTV hawajitangazi, wanafanya kwa vitendo! they have got what you need from your Television
 
Mmh, huu sasa ni ushabiki wa Yanga na Simba. Ni vizuri kwa muuliza swali kuangalia upande utakaompendeza, mengine ni ushabiki tu.
 
Labda kwa kuongezea ili iwe faida kwa muuliza swali, mimi natumia Star Times. Kwa channels za Bongo ambazo hazimo natumia antenna yangu ya zamani kwani sijaiondoa. Kifupi ni kuwa nimeunga king'amuzi kupitia AV jacks na antenna ya zamani kupita RF, sihitaji kuchomoa au kuchomeka waya ni kucheza na Remote tu. Nimeongezea hii kama itasaidia katika kufikia maamuzi yako.
 
Labda tujiulize uzuri unaoongelewa hapa ni upi?
Wingi wa channel? ubora wa picha, au ubora wa channel zinazopatikana? au nini
Upande wangu mara ya mwisho nilipo itumia Easy ilikuwa the best kwangu kwa maana ya kukamata channel zote local
 
Wakuu tuache ushabiki...Easy wapo muda mrefu na local channels zote..TBC,CH10,ITV,EATV,CAPITAL,STAR TV,,MLIMANI,CLOUDS na TVZ zinapatikana,pia international kama CNN,BBC Al Jazeera wamo,KBC,KTN,CITIZEN,UBC nk...pia ina channel za movie 5 na MTV musics,Dubai sports,Emmanuel TV etc..decoder ipi nyingine inakupa hizo channel zote kwa tshs 9,000 kwa mwezi?
 
Jamani Easy Tv inapatikana baadhi ya sehemu za Jiji tuu kule sweken kama Kimara,Segerea,Kibamba nk hamna kituu,Mafundi walijaribu kunifungia siku mbili nzima wanashindwa kupata signals.
 
Back
Top Bottom