Hansy wa East
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 446
- 232
Bandugu pc yangu inatoa mwanga mkali sana na cjui jinsi ya kuupunguza huku natumia kusomea msaada plz!
Fanya hivi ""control panel>power options>adjust brightness" is probably best method!!!!Bandugu pc yangu inatoa mwanga mkali sana na cjui jinsi ya kuupunguza huku natumia kusomea msaada plz!
au sema ni pc ya aina gani ili upewe shortcut
Mimi natumia win 7 toshiba nataka nipunguze mwanga
Toshiba ipi?
![]()
Umeona hapo juu unabonyeza fn na button zilizochorwa mwanga.
Computer zinazotofautiana cha muhimu angalia button ilochorwa mwanga na huo mchoro wa rangi gani.
Picha yetu inaonyesha rangi ya cyan basi bonyeza fn ya cyan na button za mwanga, laptop nyengine kama lenovo inakua magenta au red
natumia lenovo G450 WIN 7Unatumia pc aina gani?
sasa utasaidiwaje upo mbali na pc yako maana kumbe hujui hebu jalibu kuwa karibu na pc ndio uombe msaada sawa
sorry nlikua pindi natumia LENOVO G450 msaada plz!
najaribu kukudaka ndugu ila nimeejatibu kuhold hyo fn na nikabonyeza hizo arrows ila cjaona effect sa cjui kabla ya kufanya hivyo pc inatakiwa iwe kwenye cntn gani. samahani lakini![]()
upande wa kushoto chini kabisa kuna button imeandikwa fn bonyeza hio na button za mshale juu au mshale chini
na picha nloeka juu ilipaswa ifanye kazi pia
ngoja ntest ndudukama unatumia lenovo kumbuka computer zote zinazotumia W 7 ukitaka kuunguza mwanga au kuongeza nenda kwenye start opande wako we kulia kwenye sehemu inayoonyesha batter click na chagua adjast brightness unapabunguza unachokitaka basi au angalia kwenye keyboard shutcut yake alafu kunapunguza ni hivyo tuu wala haiitaji darasa sana
kama unatumia lenovo kumbuka computer zote zinazotumia W 7 ukitaka kuunguza mwanga au kuongeza nenda kwenye start opande wako we kulia kwenye sehemu inayoonyesha batter click na chagua adjast brightness unapabunguza unachokitaka basi au angalia kwenye keyboard shutcut yake alafu kunapunguza ni hivyo tuu wala haiitaji darasa sana