Msaada plzz Tigo, Zantel na Voda ipi inafaa Internet

Mwl Mkwaya

Member
Joined
May 20, 2011
Posts
68
Reaction score
7
Bundle ya Balckberry ya tgo ndo nitumiayo inayosumbua sana, nimeichoka! Voda na Zantel bundle za BB ipi ni nzuri wadau...msaada !
 
Voda package yao ni nzuri haisumbui, waweza jaribu
 
Huwa simwelewi mtu anaye2mia tigo,airtel wako fit!
 
Bundle ya Balckberry ya tgo ndo nitumiayo inayosumbua sana, nimeichoka! Voda na Zantel bundle za BB ipi ni nzuri wadau...msaada !

Sija kuelewa, ila mimi natumia MODERM ya VODA nalipia UNLIMITED ya siku 30 kwa 30,000/= au siku 7 kwa 10,000/= na ipo bomba mno hasa unapokuwa town au maeneo ya town kw amikoani.

TIGO nilikuwa sijawahi kutumia ila nimeaanza juzi baada kununua line yao ya Blackbery kwa 30,000/= wankupa 3 GB kw amwezi mzima na 30,000/= wanakupa muda wa maongezi ya thamani hiyo 30,000/= mpaka sasa ni wiki ya pili na ninaona ipo Bomba sana!
 
Bundle ya Balckberry ya tgo ndo nitumiayo inayosumbua sana, nimeichoka! Voda na Zantel bundle za BB ipi ni nzuri wadau...msaada !

Mwalimu kaaya jina sio geni

Sjajua blackberry yako ni ya aina gan zipo zenye 3g(internet ya haraka) na zengine zina 2g (internet ya slow) ni vizuri ungesema aina.

Pia uzuri na uharaka wa internet kwa tanzania inategemea na eneo ulipo kuna maeneo mtandao fulani unakua na speed kuliko mwengine ni vizuri pia ungetaja eneo.

Kwa faida yako tu fanya kauchunguzi kako mwenyewe. Tafuta modem inayoingia line yoyote unga bundle ya voda ya sh 200, ya tigo usiku pack ya 300 na airtel ya bure usiku.

Jaribu kudownload kitu cha aina moja lets say video youtube halafu pima speed ya kila mtandao mtandao utakaokua na speed zaidi kwa eneo lako ndio utakaokufaa na sio kuuliza humu kila mtu anatoka eneo lake na ana preference yake
 
Naomba niulize swali nje ya mada kidogo. Ninawezaje kucheki salio la Internet data bundle kwenye Simu zenye mtandao wa Tigo? Je ninaweza kucheki kwa kutuma SMS?
 
Kwa BB service tumia Zantel..why kuna option nyingi za bundle hadi daily packs kuhusu speed ni nzuri sana coverage ni EDGE na 3G baadhi ya maeneo mengi
 
Mwalimu kaaya jina sio geni

Sjajua blackberry yako ni ya aina gan zipo zenye 3g(internet ya haraka) na zengine zina 2g (internet ya slow) ni vizuri ungesema aina.

Pia uzuri na uharaka wa internet kwa tanzania inategemea na eneo ulipo kuna maeneo mtandao fulani unakua na speed kuliko mwengine ni vizuri pia ungetaja eneo.

Kwa faida yako tu fanya kauchunguzi kako mwenyewe. Tafuta modem inayoingia line yoyote unga bundle ya voda ya sh 200, ya tigo usiku pack ya 300 na airtel ya bure usiku.

Jaribu kudownload kitu cha aina moja lets say video youtube halafu pima speed ya kila mtandao mtandao utakaokua na speed zaidi kwa eneo lako ndio utakaokufaa na sio kuuliza humu kila mtu anatoka eneo lake na ana preference yake

Natumia blackberry torch 9700..ina 3g na 2g....
 
Tnx wadau....!! Let me try suggestions zenu !!
Angalizo: Tigo kimeo kwny Blackberry bundles...
 
Mwalimu kaaya jina sio geni

Sjajua blackberry yako ni ya aina gan zipo zenye 3g(internet ya haraka) na zengine zina 2g (internet ya slow) ni vizuri ungesema aina.

Pia uzuri na uharaka wa internet kwa tanzania inategemea na eneo ulipo kuna maeneo mtandao fulani unakua na speed kuliko mwengine ni vizuri pia ungetaja eneo.

Kwa faida yako tu fanya kauchunguzi kako mwenyewe. Tafuta modem inayoingia line yoyote unga bundle ya voda ya sh 200, ya tigo usiku pack ya 300 na airtel ya bure usiku.

Jaribu kudownload kitu cha aina moja lets say video youtube halafu pima speed ya kila mtandao mtandao utakaokua na speed zaidi kwa eneo lako ndio utakaokufaa na sio kuuliza humu kila mtu anatoka eneo lake na ana preference yake

Well said Mkuu, napata shuda sana watu wanaio uliza maswali ya jinsi hii.
 
Back
Top Bottom