Msaada wa ku unlock vodacom modem E 303s-2

Msaada wa ku unlock vodacom modem E 303s-2

Mliga

Senior Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
101
Reaction score
16
Wakuu naomba msaada wenu juu ya hili tatizo maana nimenunua aina hii lakini utendaji kazi wake umenichosha, yani hadi saa nne usiku ndo inatiririka vizuri, msaada wenu tafadhali niweze kutumia laini tofauti. Nawasilisha wakuu.
 
weka link ya hiyo firmware mpya..

hapo kwenye dashboard na firmware ndo mmeniacha gizani kabisa! Maana sina utaalam na ivyo vitu naomba ufaham zaidi kutoka kwenu wakuu na namna ya kuzipata hizo dashboard, firmware pamoja na link yake na namna ya kuzibadilisha. ntashukuru sana kwa uwezeshaji wenu.
 
Back
Top Bottom