Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,824
- 2,079
Nimekuwa nikijaribu kila wakati kununua APPL za Bure kutoka Itune store lakini nashindwa.
1.Nilifungaua acc kutoka APPLE lakini ninapotaka ku-Download zile APPL za bure naambiwa acc.yangu mpaka niiwekee credit pamoja na kwamba hawani-charge lakini ni credit account hiyo kwa kutumia Visa card au card zingine.
2.Nina shida sana kupata APPL hizo sasa kama ujuavyo niko vijijini je kuna yeyote anaweza kunisaidia nami nitamjali kiaina bila shida naomba msaada wenu.