siku hizi ziipate ch 10. Je,frequency na symbol rate zake zimebadilishwa tena? Nisaidieni wana JF.
NOOOOOOOO
mpya ni 4065.505
2848
Mimi si msemaji wa kampuni lakini ni mfanyakazi hapo.Ninachojua ni kuwa kulikuwa na tatizo la kiufundi lililochukua muda,mafundi wako kazini ,litakwisha wiki hii .asante