Naomba msaada wa kiufundi

Naomba msaada wa kiufundi

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,198
Reaction score
11,631
Natumia moderm ya Airtel e153u-2 siyo 3.75 mwanzo ninapo connect speed inakuwa nzuri lakini baada ya dakika 5 hivi speed inapungua sana siwezi kufungua hata page mpaka niitoe then niiache kwa dk kadhaa ndiyo niiweke tena hapo nitapata speed kwa 5min then matatizo yanaruadia pale pale, nilishaipeleka Airtel ofisini kwao wakaiupdate lakini bado napata tatizo,
Je tatizo ni moderm au ni machine yangu?
 
Hapo inakuwa inaanza kuUpdate baadhi ya softwares ulizo install na hata antivirus nayo, pia hata windows yenyewe kwa hiyo kila kitu kinakuwa kinahitaji. Fikiria watu wengi wanapokuwa wanang`ang`ania kupita mlangoni. Nakushauri utumie Firewall kublock baadhi ya connections utapona tu
 
Natumia moderm ya Airtel e153u-2 siyo 3.75 mwanzo ninapo connect speed inakuwa nzuri lakini baada ya dakika 5 hivi speed inapungua sana siwezi kufungua hata page mpaka niitoe then niiache kwa dk kadhaa ndiyo niiweke tena hapo nitapata speed kwa 5min then matatizo yanaruadia pale pale, nilishaipeleka Airtel ofisini kwao wakaiupdate lakini bado napata tatizo,
Je tatizo ni moderm au ni machine yangu?

Unapochomeka modem network inaitwa wcdma

Unapoconect inakuja hspa (hsdpa+hsupa)

Kukiwa na watu wengi network inamtindo wa kurudi toka hspa kuja wcdma so lazma net iwe slow

Cha muhimu angalia dashboard yako ukiconect observe tabia yake then post hapa utapata solution

Sometime unakuta inakuja edge kabisa
 
Back
Top Bottom