Kuna tofauti gani kati ya home theatre na sub woofer?

elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,891
Likes
7,641
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,891 7,641 280
Wakuu mimi siyo mpenzi wa mziki wa sauti ya juu ila ni mpenzi wa vitu vizuri.
Mwanzo nilikuwa nafikiri sub woofer ni mchina tu kumbe kuna sub woofer za brand kubwa tu.
Fikra zangu za kufikiri sub woofer ni mchina zilinifanya nisipende subwoofer kabisa hivyo mimi ni mwendo wa home thatre tu.
Sasa je kuna tofauti gani kati ya subwoofer na hometheatre na je hakun sub woofer zinazokuja complete n deck yake kama home theatre?
 
emanuel prim

emanuel prim

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Messages
405
Likes
262
Points
80
emanuel prim

emanuel prim

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2014
405 262 80
Zipo zinazokuja FULL ila ni zile brand kongwe kama SONY, AKIRA, JCV, TOSHIBA.... nk
 
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Messages
9,021
Likes
11,669
Points
280
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2011
9,021 11,669 280
Home theater ipo advanced zaid ya subuffer. Kwa mfano mimi mpaka sasa sijaona sabuffer zenye optical audio input au autput. Hata za hdmi sio nying
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,657
Likes
9,669
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,657 9,669 280
mkuu nimecheki online kidogo hapa subwoofer ni lile speaker la bass na home theatre ni complete system.

hivyo kwenye home theatre unaweza ukawa na 'sabufa' lakini sabufa halina home theatre

cheki zaidi kuhusu sabufa hapa
Woofer vs. Subwoofer: Is There Really a Difference?
 
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,891
Likes
7,641
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,891 7,641 280
kikwambi

kikwambi

Member
Joined
Jun 30, 2016
Messages
85
Likes
27
Points
25
Age
32
kikwambi

kikwambi

Member
Joined Jun 30, 2016
85 27 25
Home theatre inakuwa imekamilika kwa kila kitu mfano deki, spika za aina zote, remote, pia kwenye home theatre unapata specification zaidi km HDMI port, Bluetooth, FM , na vingine vingi.
 
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,551
Likes
659
Points
280
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,551 659 280
Home Threatre ni Spika zinazowekwa ndani ili uweze kupata sauti nzuri na effect zake kwenye 3D. Kwa mfano kama umefunga vizuri Spika zako na ukawa na Screen kubwa, kama mtu anatokea tuseme upande wa kushoto basi utasikia sauti zikitoka pia kushoto na akifika katikati utasikia sauti ipo katikati na akienda kulia na kupotea pia utasikia sauti zipo kulia.
Kwenye majumba ya Cinema, zile Screen zake na kuta za jumba la Cinema zimejazwa Spika ili kuleta hiyo effect ya 3D Sound. Ila kwa sababu gharama ni kubwa sana, nyumbani inaishia kuwa na Spika 5.1 au 7.1 na katika hizo, moja huwa ni ile ya katikati na Subwoofer inakuwa ni uamuzi wa mnunuzi au watengenezaji.

Hii ni Screen ya IMAX. Ni kubwa na ndefu sana. Ila unaona jinsi Spika zinavyojazwa. Kwa Theatre mpya, zinakuwa nyingi zaidi ila ndogo ndogo.

Kama inavyoonyeshwa kwenye picha ya kwanza, Sub Woofer anaweza kuchangia kwenye Homethreatre kama Subset au akasimama mwenyewe. Kwenye Spika kubwa za Concert za wanamuziki maarufu, Subwoofer zinakuwa chini ili zitetemeshe Bass ya kutosha.

Chini ni kwa ufupi jinsi Sub woofer zinavyotumika kwenye kumbi kubwa. Ni hizo chini.

Subwoofer kwa kawaida wanaigeuza Spika na unakuwa unasikia kwa nyuma ambako kwa kawaida kuna Bass kubwa zaidi. Spika za kawaida zile Spika zake zinakuwa zimeangalia mbele.

Hapa waweza kuona kuwa upande wa kushoto ni Spika ya kawaida na kulia ndiyo Spika ya Sub Woofer.Ili kuilinda wanaweka tundu la duara au kuweka wavu kama picha ya juu zaidi ya spika za JBL. Hii ya kushoto huwa hawaijali sana kwani hata kuitengeneza ni rahisi. Nadhani materials yanayotumika kwenye Spika ya kulia (Sub Woofer) ni ghali sana. Ndiyo maana Sub woofer zinakuwa ghali mno.

Nategemea utakuwa umeelewa kwa ufasaha tofauti yake na wapi zinatumika na zimetengenezwaje kwa ufupi sana.

Wakuu mimi siyo mpenzi wa mziki wa sauti ya juu ila ni mpenzi wa vitu vizuri.
Mwanzo nilikuwa nafikiri sub woofer ni mchina tu kumbe kuna sub woofer za brand kubwa tu.
Fikra zangu za kufikiri sub woofer ni mchina zilinifanya nisipende subwoofer kabisa hivyo mimi ni mwendo wa home thatre tu.
Sasa je kuna tofauti gani kati ya subwoofer na hometheatre na je hakun sub woofer zinazokuja complete n deck yake kama home theatre?
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
5,430
Likes
5,011
Points
280
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
5,430 5,011 280
Hata hizo unazoziita subwoofer ni home theatre tofauti tu. Kuna
1.2,1.3,1.5 & 1.7 pia kuna 2.7. Yani hiyo moja moja hapo ndio subwoofer za sauti nzito hizo ,2,3,5,7 ni spika ndogo za sauti nyepesi.
 
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,891
Likes
7,641
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,891 7,641 280
Home Threatre ni Spika zinazowekwa ndani ili uweze kupata sauti nzuri na effect zake kwenye 3D. Kwa mfano kama umefunga vizuri Spika zako na ukawa na Screen kubwa, kama mtu anatokea tuseme upande wa kushoto basi utasikia sauti zikitoka pia kushoto na akifika katikati utasikia sauti ipo katikati na akienda kulia na kupotea pia utasikia sauti zipo kulia.
Kwenye majumba ya Cinema, zile Screen zake na kuta za jumba la Cinema zimejazwa Spika ili kuleta hiyo effect ya 3D Sound. Ila kwa sababu gharama ni kubwa sana, nyumbani inaishia kuwa na Spika 5.1 au 7.1 na katika hizo, moja huwa ni ile ya katikati na Subwoofer inakuwa ni uamuzi wa mnunuzi au watengenezaji.

Hii ni Screen ya IMAX. Ni kubwa na ndefu sana. Ila unaona jinsi Spika zinavyojazwa. Kwa Theatre mpya, zinakuwa nyingi zaidi ila ndogo ndogo.

Kama inavyoonyeshwa kwenye picha ya kwanza, Sub Woofer anaweza kuchangia kwenye Homethreatre kama Subset au akasimama mwenyewe. Kwenye Spika kubwa za Concert za wanamuziki maarufu, Subwoofer zinakuwa chini ili zitetemeshe Bass ya kutosha.

Chini ni kwa ufupi jinsi Sub woofer zinavyotumika kwenye kumbi kubwa. Ni hizo chini.

Subwoofer kwa kawaida wanaigeuza Spika na unakuwa unasikia kwa nyuma ambako kwa kawaida kuna Bass kubwa zaidi. Spika za kawaida zile Spika zake zinakuwa zimeangalia mbele.

Hapa waweza kuona kuwa upande wa kushoto ni Spika ya kawaida na kulia ndiyo Spika ya Sub Woofer.Ili kuilinda wanaweka tundu la duara au kuweka wavu kama picha ya juu zaidi ya spika za JBL. Hii ya kushoto huwa hawaijali sana kwani hata kuitengeneza ni rahisi. Nadhani materials yanayotumika kwenye Spika ya kulia (Sub Woofer) ni ghali sana. Ndiyo maana Sub woofer zinakuwa ghali mno.

Nategemea utakuwa umeelewa kwa ufasaha tofauti yake na wapi zinatumika na zimetengenezwaje kwa ufupi sana.
Asante kwa somo zuri mkuu
 
AMBASSADOR-M

AMBASSADOR-M

Senior Member
Joined
Jun 17, 2016
Messages
170
Likes
81
Points
45
AMBASSADOR-M

AMBASSADOR-M

Senior Member
Joined Jun 17, 2016
170 81 45
Enlightment on entertainment...Bhabheja sana
 
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,551
Likes
659
Points
280
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,551 659 280
MAREKEBISHO TAFADHALI:
Kwa kawaida namba kubwa inatangulia. Kwa maana hiyo ulitakiwa kuandika 2.1, 5.1, 7.1 nk. Angalia ile picha niliweka juu kuhusu 7.1. Maana ya 1 SUB WOOFER. Mwanzo nilikosea na wewe ulikuwa sawa. My apology!!!!

Sub Woofer zinakuwa zinajitegemea. Ila kuna watengenezaji wengine wanaziunga na Deck yake ya DVD au Bluray yake pamoja na Spika zake zote 5. Ila wengi sasa hizi wameacha na kwa sababu ilikuwa kifaa kimoja kikiharibika basi imekula kwako System nzima.Hata hizo unazoziita subwoofer ni home theatre tofauti tu. Kuna
1.2,1.3,1.5 & 1.7 pia kuna 2.7. Yani hiyo moja moja hapo ndio subwoofer za sauti nzito hizo 1,2,3,5,7 ni spika ndogo za sauti nyepesi.
 
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,551
Likes
659
Points
280
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,551 659 280
Inaweza kuwa hivyo ila SI LAZIMA iwe hivyo. Kwa mfano ONKYO anatengeneza Amplituner za Homethreatre nzuri sana ila si mtengenezaji mzuri wa Spika. Hapo inabidi ukachukua Spika za wataalamu.

Kwenye majumba makubwa maarufu duniani, Spika za MARTIN, kampuni ya UK ndiyo zinatamba sana.Tofauti ni kwamba home theatre iko full ni pamoja na Deck na spika zake zote inakuwa set nzima Sub woofer ni yenyewe tu na Spika zake mbili na yenyewe jumla zinakuwa 3
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
5,430
Likes
5,011
Points
280
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
5,430 5,011 280
Kwa kawaida namba kubwa inatangulia. Kwa maana hiyo ulitakiwa kuandika 2.1, 5.1, 7.1 nk. Angalia ile picha niliweka juu kuhusu 7.1. Maana ya 1 ni Msikilizaji au mlengwa/walengwa wa sauti ili kufaidi kwa utamu zaidi hizo sauti kwenye 3D.

Sub Woofer zinakuwa zinajitegemea. Ila kuna watengenezaji wengine wanaziunga na Deck yake ya DVD au Bluray yake pamoja na Spika zake zote 5. Ila wengi sasa hizi wameacha na kwa sababu ilikuwa kifaa kimoja kikiharibika basi imekula kwako System nzima.

Asante kwa marekebisho yake. Ila wengi huwa hawaelewi wanadhani ikiwa na spika tano na kuendelea ndo hometheatre kumbe si kweli ila zote ni home theatre tofauti tu ni idadi ya speaker haijalishi amplifier iwe ya ndani ya ile sub au iwe imeundwa peke yake. Ila tu ikiwa na spika kuanzia tano ndo inakuwa na sound nzuri zaidi ya 3d kwani wakati zinapiga mziki zinakuwa kama zinapokeana beat.
 
Mamaya

Mamaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
3,858
Likes
616
Points
280
Mamaya

Mamaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
3,858 616 280
Hizo za mchina ni home theatre ila za chini ya kiwango na nyingi ni 2.1 ambazo mchina amemodify kwa kuzuwejea socket ya usb na radio. Ila subwoofer ni speaker inajitegemea designed special kwa ajili ya kutoa bass(low frequences) kwa kuwa kava lake ni gumu na zito tofauti na speaker za kawaida. Subwoofer inaweza kuwa passive kwa maana inahitaji external amplifier special designed for low frequences, na pia inaweza kuwa active, yaani subwoofer ambayo ina amplifier tayari imetengenezewa .
 
Rashid Athumani

Rashid Athumani

Member
Joined
Jan 1, 2014
Messages
79
Likes
30
Points
25
Rashid Athumani

Rashid Athumani

Member
Joined Jan 1, 2014
79 30 25
Kuna hizi zinazoitwa Aborder zenyewe zina redio, sehemu ya kuchomeka Card reader na flash na zina vispeaker vyake viwili, nazo ni home theater au sub woofer?
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
5,430
Likes
5,011
Points
280
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
5,430 5,011 280
Kuna hizi zinazoitwa Aborder zenyewe zina redio, sehemu ya kuchomeka Card reader na flash na zina vispeaker vyake viwili, nazo ni home theater au sub woofer?
Ni hometheater hiyo. 2.1
 
Forum statistics

Threads 1,272,335
Members 489,924
Posts 30,448,060