Msaada: Jinsi ya kufunga kingamzi cha Azam Tv

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,593
Reaction score
17,550
Habari wadau,

Mwaka jana nilijikamua nkanunua kingamzi but mambo yameenda ndivo sivyo nkakosa hela ya kufungia. Sa ktk kupiga story jamaa akanambia ukipata maelezo mazuri waweza kufunga mwenyewe.
Tafadhali kama unajua jinsi ya kufunga kingamzi naomba mwongozo nianze kuangalia taarifa ya habari
 
Msaaaaada tafadhali

Kama ndio mara ya kwanza utapata tabu! tafuta sat finder ka na io huna angalia uelekeo wa dish la jilani, nyuma ya dish lako ukilifunga kuna No kama upo dar nyanyua elevation uweke kwenye No 51 degrees, kisha uelekeo wa jilani na jicho kwenye tv ka signal zitasoma.
 
Thanks ngoja nijaribu
 
Kwa hiyo cha muhimu ni dish kuliweka vizuri tu?
 
Msaada namna ya kuzipata chanel za azam tv nimeset dish signal iko pw zinaonesha chanel za nje tu
 
Attachments

  • IMG_20230720_205052_6.jpg
    IMG_20230720_205052_6.jpg
    329.6 KB · Views: 90
Back
Top Bottom