Goodbye Twitter

Goodbye Twitter

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,284
Reaction score
2,593
Welcome X [emoji3]

20230723_152703.jpg


Tajiri wa ulimwenguni Mr Elon musk ambaye anasifika kwa kupenda kufanya maamuzi ya kivyakevyake, Leo ameanza mchakato wake wa kubadilisha maisha mapya wa mtandao wa Twitter.

Twitter itaweza kuondolewa logo yake na kuwekwa jingine ambayo ni logo yenye alama X. Yule ndege tuliyemzoea kumuona kwenye logo ya Twitter anaondolewa kabisa.

20230723_152711.jpg


Pia jina la Twitter litaondolewa na kuitwa X. Wengi wanajiuliza kwanini amefanya hivyo [emoji3]??

X ni Kampuni ya Elon musk Toka alivyo nunua Twitter mwaka Jana mwezi wa kumi aliweka jina la Kampuni yake X.copr na kuondoa jina la Twitter ambayo ni Twitter inc, Matamanio yake ni kuifanya Twitter kuwa supper App ulimwenguni kama vile we chat.

20230723_152648.jpg


Mwaka 2022 tarehe 10 mwezi wa 5 Elon alipost kupitia mtandao wa Twitter na kusema " Akinunua Twitter ataweza kuibadilisha Kila kitu na kutengeneza alama ya X Kila kitu kilichopo kwenye app".

Mabadiliko Aya yameanza kwa watumiaji wa iphone utaweza kuiona alama Ya X kwenye logo ya Twitter [emoji3582].

20230723_152659.jpg


unasemaje mdau Twitter kubadilishwa kupewa Alama X tuachie maoni yako?

Ebu fanya kutufuatilia kwenye mtandao telegram ujipatie wallpaper, software, apps,game mbalimbali kwa ajili ya simu na kompyuta

Bure [emoji2772][emoji116]
 
Back
Top Bottom