salaam wakuu, habari ya kila mtu. Kwa wale wakuu risk takers katika tasnia ya betting,je ni sites gani unazozifaham wanazo predict football matches kwa high accuracy? Kuna ths place at K/Koo...
Ukiwa na sh 50 tu unaongea na mtu mmoja "unlimited calling" 24hrs kwa kupiga *804*1*namba#
kama hiyo ikikataa ipo hii tena
ukiwa na sh 75 unaongea tena na namba moja 24 hrs kama hapo juu ila...
heshima zenu wana jukwaa,,,mim nimepakua microsoft 2013 sasa cijui nifanye je kuinstall bila ku-burn kwenye cd kwa sababu ni ISO FILE so ina fail ku-install ,,,nisaisie kama kunaprogram ya ku-open...
actual sio rahisi kivileeee ni dola 249 around laki 4 za kitanzania kwa sasa itakua ndo simu rahisi zaidi ya windows 8 (huawei wao wanakuja na simu ya chini ya dola 200).
Ina vitu exclusive...
simu yangu ni Nokia E71. ni wiki ya pili sasa inakataa kufungua facebook na e-mail yangu ya gmail. Yaani nafika hadi kwenye password na zikishafunguka tu, cursor haisogee na wala hakuna command...
Voyager 1 probe leaving solar system reaches "magnetic highway" exitBy Irene Klotz | Reuters Mon, Dec 3, 2012
Enlarge GalleryThis artists rendering provided by NASA shows the Voyager...
TCRA na akina Mpoto acheni kupotosha wananchi...hakuna TV ya zamani wala ya kisasa zote zitahitaji king'amuzi
haijalishi ni CRT,PLASMA,LCD or LED
hata logo yenu ina kasoro katika ujumbe wake
Habari za leo wakuu,
Jamani mimi BB yangu ghafla imeacha kudisplay majina ya watu kwenye contact yangu ambayo nimeya-save. Mtu akinipigia inaonekana namba tu wakati nime-msave, tatizo linaweza...
Drought May Have Killed Sumerian LanguageBy Tia Ghose, LiveScience Staff Writer | LiveScience.com 12 hrs ago
Related Content
Enlarge PhotoThe ancient Sumerians invented
SAN FRANCISCO...