Vodacom wanjanja night offer speed yake vipi

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Messages
3,308
Points
2,000

Mayu

JF-Expert Member
Joined May 11, 2010
3,308 2,000
Mkuu are you spy?
Hamna kitu kama hiyo mkuu
Nina modem ya Airtel haichakachuliki sasa nataka kuhamia voda hivyo nilitaka kujua kama naweza shusha movie kama gb 1 hivi kwa usiku mmoja au speed ndio kichefuchefu.......siunajua tena vitu vya dezo dezo restrictions kibao
 

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,693
Points
1,250

Mrimi

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,693 1,250
Hamna kitu kama hiyo mkuu
Nina modem ya Airtel haichakachuliki sasa nataka kuhamia voda hivyo nilitaka kujua kama naweza shusha movie kama gb 1 hivi kwa usiku mmoja au speed ndio kichefuchefu.......siunajua tena vitu vya dezo dezo restrictions kibao
Ipo ila speed inategemaea mahali na mahali. Mahali nilipo net sio stable,unaweza kukuta leo speed iko poa,kesho mwendo wa kobe.Lakini pia haiwezi kuconnect zaidi ya masaa matatu bila kudiconnect. So wale tunaosinzia na kuacha kitu kinapakuwa,hapo ndio wameweka checkpoint. Ila kuanzia saa kumi alfajiri hadi saa moja asubuhi inakuwa burudani sana,unapata max speed.
 

Endangered

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Messages
928
Points
195

Endangered

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2011
928 195
Nimenunua line mbili za voda, (huwa siitumii, nina Zantel na tiGO)
line moja ni ya wajanja night, na nyingine nimeweka buku kumi unlimited.

Jana nilikuwa ninaupload youtube, kuanzia saa nne, size ilikuwa 1.2GB, ikaja kumalizia kwenye saa moja kasoro.
Nadhani si mbaya, download unaweza kumaliza in an hour or two kulingana na size na eneo ulilopo.

Situmii modem, ila nina Navigator 6110, na A-town 3G inanisoma, so nimeigeuza modem na line yangu ya tiGO nimeweka kwenye ka-samsung ka zamani hivi, hata mlio hakatoi.

Kama una simu 3G poa, hata modem huhitaji kivile, unless otherwise.
 

kkenzki

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2012
Messages
1,266
Points
2,000

kkenzki

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2012
1,266 2,000
Ipo poa ila ckuizi ukiiamkia kwenye saa nane nane ivi speed inaeza fika mpaka 7mbps.....ila uku mapema utaboreka tuu
 

leh

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Messages
840
Points
225

leh

JF-Expert Member
Joined May 30, 2012
840 225
kama wakuu walivyosema hapo juu, inadepend na sehemu uliyopo. nipo maeneo ya chuo hapa Dsm, sometimes inazingua ila siku nzuri hata 6GB nitashusha. huwa inadisconnect sana kabla ya saa saba ila baada ya hapo, huwa naachia torrent nakula zangu usingizi. cheki speed za jana usiku 

Endangered

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Messages
928
Points
195

Endangered

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2011
928 195
Endangered, uploads za GB kaa.. unafanyia nn?
teh teh, mkuu jana nilikuwa na wanakwaya, sasa ikabidi ni-upload baada ya kuhangaika nao siku nzima, file moja tu hilo la dk 7. Nilijaribu nione itakuwaje, since imekubali, The PC is expecting more from the owner. Uploading kwa sana, nimeishiwa vitu vya ku-download.

data.JPG

Nimeanza kutumia Mobile Partner ku-monitor activity, from yesterday ndo hiyo hapo inaonyesha monthly, december hii nilipoianzia.
 

SUPERUSER

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Messages
962
Points
250

SUPERUSER

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2011
962 250
mim android yangu baada ya kuiroot inakamata H kila maali ...so speed inacheza hadi 500kb/s...yan modem ya voda nishatupa ...huwa nawoch movies online ...vodacom kazi ni kwako!!
 

Forum statistics

Threads 1,392,307
Members 528,585
Posts 34,104,243
Top