Msaada jamani Adobe Flash na Silverlight ipi nzuri

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
475
100
zote zina similar features,ie plugins for web browsers. Zina tofauti kidogo katika ufanisi.,tumia tu adobe flash player,it works on multiple platforms.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
27,918
31,876
sina sababu ya kitaalam lakini naona adobe flash player ni nzuri

mara zote ninazotumia silverlight net yangu inakua underpowered yani siiutilise ile speed yake nloizoea nkifanya activities nyengine.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom