Website & blog designer

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,373
1,007
umejitahidi kiasi,japo template uliyochagua inafanana sana na ya millardayo.com,thats the only reason sipendi wordpress maana kuwa unique inachukua muda sana.....aisee ushajianika jina lako live JF,sasa uwe mpole tu maana ushajulikana hadi profile yako ya fb...keep practicing u will make some cash out of that ukiweza kudesign bora zaidi,na ziwe unique,jaribu kutumia joomla,dreamweaver na php/mysql kwa kuchapa code,you may come up to be a good web designer,na pia,be creative in tyerms of content unazoweka,magazeti na mitindo zishakuwa yeboyebo...kila la kheri dogo.
 

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,357
hamna kitu hapo,

kwanza iyo theme ni free theme ya wordpress.com ambayo ni popular ambayo blog kibao zinaitumia zikiwemo kadhaa za hapa bongo kama millardayo, mxcarter na wengine, pia zipo blog za nje kibao,


mbili: hakuna creativity yoyote hapo, same thing ambayo kila anayejua kutumia wordpress anaweza fanya


tatu: idea ya blog yako ni kama za vijana wengi wengine wanaofanya blogging hapa bongo sema tu wewe umetumia platform ya wordpress wenzio hupendelea blogger(blogspot)nne: keep it up, endelea kujifunza kuhusu blogging na customization, kama unapenda wordpress endelea kujifunza zaidi ili next time usianzishe uzi kuomba eveluation ya kitu kama ulicholeta,nisamehe kama lugha yangu sio ya kuvutia kama wengine...

angalizia hapa http://mtotosix.tk

309123_255218731185728_704487577_n.jpg
 

LARRYBWAY

Member
Feb 21, 2012
82
5
Nashukuru sana wakubwaa na wataalamu wenzangu kwa msaada na ushauri, najitaidi kuufanyia Kazi. Reqards
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom