nokia watangaza simu ya bei rahisi ya wp8

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,255
2,000
actual sio rahisi kivileeee ni dola 249 around laki 4 za kitanzania kwa sasa itakua ndo simu rahisi zaidi ya windows 8 (huawei wao wanakuja na simu ya chini ya dola 200).

Ina vitu exclusive apps sawa na lumia 920 kama city lens, cinemagraph, point to shoot, lens apps na maps

camera itakua 5mp na screen ni 3.8 inch ina wvga (800x480) na phone memory ni 8gb na pia itasupport memory card ya 64 gb so memory kwa ujumla ni gb 74

Nokia_Lumia_620_02.jpg

processor ni dual core 1ghz na ram ni 512 mb inasuport hd ya 720 kwenye kuchukua video

kwenye battery ipo vizuri talking hour hadi masaa 14 kwa edge na masaa 9 kwenye 3g.

My opinion hii ndio simu bora na rahisi ya nokia lumia kama ulikua na mpango wa kununa lumia za wp 7.5 usinunue subiria hii simu itapatikana januari
 
Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,956
2,000
chief-mkwawa nilikuwa naangalia youtube htc 8x na nokia lumia 912 head to head, daaaah nahisi nokia kwenye windows watadominate soko maana japo spec zilikuwa almost the same lakini nokia wana vitu kibao vya ziada,pia nimeona samsung ativ ila kioo chake sio chakung'aa iko ama galaxy s2 na s3, japo ina specs balaa pia ina screen kubwa ila outdoors brightness inabidi uweke max, pia kwenye camera nimeona nokia wameua, htc japo nawapenda ila wana worst camera
 
Last edited by a moderator:

htc kipenzi cha microsoft na career wa marekani watauza tu maana kwenye store wanasema htc zinauzwa bei ghali kwa sababu ni nzuri kuliko lumia
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom